Maisha ya shule na matukio yake yenye kufurahisha

Aisee kuna jamaa anaitwa salum almaarufu ndecha huyu jamaa nilikua simpatii picha kabisa yaani yeye alikua anachukia sana mwalimu wa somo lolote lile kuingia darasani .Yaan kila mwalimu anae ingia class yeye utamsikia akisema OHOOOOO!!! yan ata wa somo la dini ya alikua anachukia knoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…