Subiri wadau wa south africa wakujuze mkuuWadau habari zenu
Jaman kama mjuavyo Bongo pashakuwa pagumu.. Sasa naomba mwenye kujua Maisha kwa ujumla ya South Africa anijuze..
Nataka kujua maisha ya huko kwa ujumla... Je nafasi z kazi zipo? Mm n mtanzania wa hali ya kawaida.. Je Nahitajika kuwa na kama shilingi ngapi za kuja kuanzia maisha huko?
Kama mnafahamu mafmbo mengine zaid tujuzane zaid..
Nauli to SA kwa njia ya boaders2M kasoro kidogo
2M kasoro kidogo
Yes......labda kama anaamua kuwa mzamiaji atabeba box hukoMkuu ni kazi ya aina gani hiyo ambayo unaifuata huko sauzi bongo imeshindikana?! Sauzi changamoto ni nyingi kwa wageni hivyo inatakiwa ujiandae kisaikolojia pia. Kwa mtazamo wangu sio sehemu nzuri kama unaenda kuhustle