Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Kweli mkuu mtu ukipiga hesabu unakuta hadi laki 3 inaondoka misosi tuBora ulivyogundua maisha ya kula mgahawani kwa mabachela inacost sana faranga
Kujipikia ndio mpango
ila kwenye kufua nguo sasa duuu!!
Sasa hv afya nimeanza kurudi tofauti nilivyokuwa nakula kwa mama ntilieMkiumwa mnakuja kutupa tabu sababu ya utapiamlo
nakuosha vyombo,japo hawanaga vyombo vingiBora ulivyogundua maisha ya kula mgahawani kwa mabachela inacost sana faranga
Kujipikia ndio mpango
ila kwenye kufua nguo sasa duuu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji97] [emoji97] kuna bachelor nilifikaga kwake asee harufu ya vyombo vichafu vilivyorundikwa zaidi ya wiki moja kidogo nizimienakuosha vyombo,japo hawanaga vyombo vingi
ahahhaaaa ni shida,ndo maana mabachelor wengi kama hajajipanga ukimwambia twende gheto,utamsikia akisema ''niko hivi kidogo'' anakula kona[emoji23] [emoji23] [emoji97] [emoji97] kuna bachelor nilifikaga kwake asee harufu ya vyombo vichafu vilivyorundikwa zaidi ya wiki moja kidogo nizimie
Hahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji97] [emoji97] kuna bachelor nilifikaga kwake asee harufu ya vyombo vichafu vilivyorundikwa zaidi ya wiki moja kidogo nizimie
Hamna lolote mimi yameisha nikera mno..! Shida kila nikitaka kuoa yuko wapi wa kuoa..[emoji41][emoji41]Kumbe kutumia tsh 15,000 kwa ajili ya chakula ni kujidekeza tu!Jioni nikirudi home nahakikisha napika wali wa kutosha nakula jioni.
Asubuhi nakunywa na chai nachukua hot pot naweka cha mchana kwenye begi usiku namalizia na kaafya changu kameanza kuja.
Nikipata laki kama milioni, mbinu hii ningeitumia tangu mwanzo ningekuwa mbali sana aisee! Kuowa bado sana! Buku tena natumia wiki nzima kwenye maswala ya misosi.
Umeliona mkuu mi Nina full mchele unga mafuta ges bado inachachalika pembeni ya nyumbani Luna bucha ila nikisha pika tu nakalibisha mendeTatizo sio kupika, tatizo ni Kuosha vyombo na kufua
nende dawa yake unablend matango kisha unachangany na maji unayodekia wanakula kona na hawarudi siku za usoniUmeliona mkuu mi Nina full mchele unga mafuta ges bado inachachalika pembeni ya nyumbani Luna bucha ila nikisha pika tu nakalibisha mende