Maisha ya ubachela hadi raha!

Maisha ya ubachela hadi raha!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Kumbe kutumia tsh 15,000 kwa ajili ya chakula ni kujidekeza tu!Jioni nikirudi home nahakikisha napika wali wa kutosha nakula jioni.

Asubuhi nakunywa na chai nachukua hot pot naweka cha mchana kwenye begi usiku namalizia na kaafya changu kameanza kuja.

Nikipata laki kama milioni, mbinu hii ningeitumia tangu mwanzo ningekuwa mbali sana aisee! Kuowa bado sana! Buku tena natumia wiki nzima kwenye maswala ya misosi.
 
kwani wote waliooa wanatumia 15000 za chakula kwa siku? Maisha ni jinsi unavyoyapanga. Mtoto wa kiume kula ubwabwa asubuhi, mchana jioni!!!! kila siku... Khaaa kisa? kubeba makontena ya ubwawa kwenye mabegi inahuuuuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji97] [emoji97] kuna bachelor nilifikaga kwake asee harufu ya vyombo vichafu vilivyorundikwa zaidi ya wiki moja kidogo nizimie
ahahhaaaa ni shida,ndo maana mabachelor wengi kama hajajipanga ukimwambia twende gheto,utamsikia akisema ''niko hivi kidogo'' anakula kona
 
Kumbe kutumia tsh 15,000 kwa ajili ya chakula ni kujidekeza tu!Jioni nikirudi home nahakikisha napika wali wa kutosha nakula jioni.

Asubuhi nakunywa na chai nachukua hot pot naweka cha mchana kwenye begi usiku namalizia na kaafya changu kameanza kuja.

Nikipata laki kama milioni, mbinu hii ningeitumia tangu mwanzo ningekuwa mbali sana aisee! Kuowa bado sana! Buku tena natumia wiki nzima kwenye maswala ya misosi.
Hamna lolote mimi yameisha nikera mno..! Shida kila nikitaka kuoa yuko wapi wa kuoa..[emoji41][emoji41]
 
Umeliona mkuu mi Nina full mchele unga mafuta ges bado inachachalika pembeni ya nyumbani Luna bucha ila nikisha pika tu nakalibisha mende
nende dawa yake unablend matango kisha unachangany na maji unayodekia wanakula kona na hawarudi siku za usoni
 
Back
Top Bottom