Maisha ya uoga wa kupotezewa maisha yao yametanda Tanzania

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Sasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao.

Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka.

Haki ya kujadili masuala ya taifa letu imepokwa.

Bora tunywe Valuu na konyagi huku tukimiksi na Kangala
 
Ikifika Saa 3 naingia kwenye friji ninywe tonic water mix na KONYAGIIII NDOGO MOJA
 
Sasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao.

Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka.

Haki ya kujadili masuala ya taifa letu imepokwa.

Bora tunywe Valuu na konyagi huku tukimiksi na Kangala
haugopi kutekwa???
 
Hii inaitwa kufa kwa nyani miti yote upukutika, chama changu kimeziba masikio na kinafanya kile sio lengo la kuanzishwa kwake.
 
Ni aheri wakati wa ukoloni watu walikuwa salama kuliko nyakati hizi!
 
Sasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao.

Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka.

Haki ya kujadili masuala ya taifa letu imepokwa.

Bora tunywe Valuu na konyagi huku tukimiksi na Kangala

Maisha chini ya Mkoloni Mweusi, CCM yanazidi kuwa magumu kuliko iliyokuwa chini ya mkoloni Mweupe.
 
Nchi Iko chini ya majambazi.
Ni aibu sana Kwa watu safi kama Dr Asha Rose Migiro kuwa kwenye kundi Hilo.
 
Inashangaza sana serikali inawinda raia zake kwa mambo kama kujiuzulu ubalozi, wakaenda kumteka dada mtu. Wanamtafuta kumuua.

Vyombo vya habari vinafungiwa kwa kuripoti habari, picha rasmi zilizopigwa kutoka ikulu na kusambazwa na ikulu mawasiliano.

Chadema jana walikuwa na siku ya kuwakumbuka mashujaa wao walioua, kujeruhiwa, kuteswa, kutekwa, waliopo magereza na waliopotea. Wengi wamekamatwa kwa kuhudhuria mkutano wa amani.

Watu wanakamatwa kwa kufanya mambo ya kawaida sana,kutumia haki zao za kibinadamu na kikatiba. Uonevu, udhalimu, uhuni umekuwa kama, sera, miongozo rasmi ya serikali hii.
Ukisikia state capture ndio hii halafu kuna cdf wa jwtz dgis tiss siwataji policcm hawa ni wawakilishi wa shetani mwenyewe.
 
Back
Top Bottom