Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Ikifika Saa 3 naingia kwenye friji ninywe tonic water mix na KONYAGIIII NDOGO MOJASasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao.
Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka.
Haki ya kujadili masuala ya taifa letu imepokwa.
Bora tunywe Valuu na konyagi huku tukimiksi na Kangala
haugopi kutekwa???Sasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao.
Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka.
Haki ya kujadili masuala ya taifa letu imepokwa.
Bora tunywe Valuu na konyagi huku tukimiksi na Kangala
Niko kwenye Grosari yangu nauza Kangalahaugopi kutekwa???
Home boy hawa mbwa wamefungia jf da tunaingia kwa tabuIkifika Saa 3 naingia kwenye friji ninywe tonic water mix na KONYAGIIII NDOGO MOJA
Homeboy HATAREEE sanaaaaaa Mimi natumia Tor browserHome boy hawa mbwa wamefungia jf da tunaingia kwa tabu
Mimi natumia vpn fast yani jf ni ulevi nikazi kukaa bila kuingiaHomeboy HATAREEE sanaaaaaa Mimi natumia Tor browser
Sasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao.
Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka.
Haki ya kujadili masuala ya taifa letu imepokwa.
Bora tunywe Valuu na konyagi huku tukimiksi na Kangala
Kweriiiii tena..Mimi natumia vpn fast yani jf ni ulevi nikazi kukaa bila kuingia
Ukisikia state capture ndio hii halafu kuna cdf wa jwtz dgis tiss siwataji policcm hawa ni wawakilishi wa shetani mwenyewe.Inashangaza sana serikali inawinda raia zake kwa mambo kama kujiuzulu ubalozi, wakaenda kumteka dada mtu. Wanamtafuta kumuua.
Vyombo vya habari vinafungiwa kwa kuripoti habari, picha rasmi zilizopigwa kutoka ikulu na kusambazwa na ikulu mawasiliano.
Chadema jana walikuwa na siku ya kuwakumbuka mashujaa wao walioua, kujeruhiwa, kuteswa, kutekwa, waliopo magereza na waliopotea. Wengi wamekamatwa kwa kuhudhuria mkutano wa amani.
Watu wanakamatwa kwa kufanya mambo ya kawaida sana,kutumia haki zao za kibinadamu na kikatiba. Uonevu, udhalimu, uhuni umekuwa kama, sera, miongozo rasmi ya serikali hii.
Nchi Iko chini ya majambazi.
Ni aibu sana Kwa watu safi kama Dr Asha Rose Migiro kuwa kwenye kundi Hilo.