Maisha ya urafiki na jambazi la kike chuoni

urafiki unaponza, nimewahi kua na rafiki mpole sana kwa mwonekano na vitendo na alikua mtu wa ibada, huyu bwana alitaka niingiza matatizoni mpaka leo sitaki urafiki isipokua urafiki wa kikazi
 
hakuwa jambazi huyo. Alikuwa yupo kazini
 
Rafiki Kama huyo mzuri Aisee..ningekuwa nachokoza watu najua baunsa ninaye[emoji23][emoji23]
Ila ujambazi wake angebaki nao tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
huyu mshenzi alinipigia sim anakuja nitembelea kumbe kakimbia msala wenzake wamekamatwa, siku ya 3 mida ya jioni tukashtukia police wamezunguka nyumba dah! walimchukua pamoja namimi, nilikaa wiki nzima ndo nikatoka
Dah pole sana aisee
 
Duh na urafiki ukaisha hapo
 
ALIKUWA USALAMA WA TAIFA...........................LAZIMA
 
TUPE NAMBA ZAKE ZASIMU NA VP ULIMNANI.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…