Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

Yaani kwa mfano, hivi naweza kubadili msimamo wako kuwa huu ni ushauri wa kijinga? na kwa sababu ni mtazamo tofauti na ulio nao wewe ( kwa mantiki hii wewe ndio kipimo cha ushauri wenye akili ), basi kila ushauri huu utolewapo utakuwa sio sahihi?

Halafu kama mimi ni mkeo nitegemee kuna siku utabadilika na kukubali kutofautiana kistaarabu? si nitakuwa mjinga jumla jumla? hahahaha
Ushauri wa kijinga huu, labda wewe ndio huwezi kubadilika.
 
P
Naandika post hii nikiwa sijui pa kuanza, il a kwa kifupi tu, nimeanza maisha mapya ya kuwa single mother.

Mimi na baba mtoto havijawork out kwa kweli na imenibidi nifanye maamuzi magumu.

Ni mwanaume nimekuwa nae kwa muda wa miaka saba ila hatujaoana, tumefanya mambo mengi ya maendeleao pamoja,ila gafla tabia yake ikabadilika akawa ni mtu wa kunigombeza bila sababu, chochote nikifanyacho kwakwe ni kibaya,lugha anayotumia kwangu akiwa na hasira ni mbovu, ila at the same time anasema ananipenda,nimekuwa ni mtu wa kuumia moyo kwa muda wote huo,najiuliza ni kupenda gani kwa namna hiyo.

Hivi karibuni nimeamua isiwe tabu kila mtu aendelee na ustaarabu wake,yeye amekuwa akitumia mtoto kunisema nina roho mbaya, sina huruma na maneno kedekede,ila kusema ukweli nimevumilia vya kutosha na sasa nimeona basi inatosha, ninampenda ndio na ingetokea miujiza abadilike ningemrudia ila ndo hivyo.kwa hasira amegoma hata kumuhudumia mtoto anasema akifika miaka saba nimpe sasa hivi akimuona atasikia uchungu kisa mimi simtaki.

Kwa wenye uzoefu jamani naanzaje kuishi maisha ya usingle mother wakati kila siku lazima mtoto aulizie daddy au hata akilia atalia daddy dady,nitakuja kumwambia nini akiwa mkubwa?na je nikija kuanza mahusiano mengine mtoto atanionaje?
Ok
 
huyo mwanaume hajielewi, hebu songa mbele na maisha yako...... mwanaume unatesa mpenzi wako kwa maneno ya kijiweni? hawezi kujisimamia? ndo awe baba huyo na kichwa cha familia?

nyumba na fedha zinatafutwa, hebu tafuta utajenga tu...
kikubwa ni kumlea mwanao, sidhani kama ukiwa kwenye uhusiano wa kupigwa na kutukanwa kuna malezi bora utakayompa mtoto zaid ya kumfundisha matusi na kutokujiamini....
Kwann unapenda watu waachane??
 
Back
Top Bottom