Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Kwa Experience yangu sehemu nyingi zinakua zimegawanyika sehemu mbili,ushuani na uswahilini

Mfano mikocheni,kuna mikocheni uswahilini na mikocheni ushuani

Kinondoni hivo hivo,ushuani na uswahilini
Nmekupata.
 
Magomeni, Ilala, Sinza, Kinondoni.
Ubaya haya maeneo ni flatland yaan mvua ikinyesha maji yanatuama knoma barabaran,,, ukiacha tu lami ili uelekee geto unakuta barabara nzma ina dimbwi la maji
 
Toa mikocheni Kuna mikocheni B weee uswahilini balaaa,ununio sijui kule Kuna wale wazawa mpk mbezi beach Ina uswazi na nyumba za hovyoo
Dar ni masaki ,upanga,posta na obey toa pale polisi kota
Pw pw
 
Unaongelea kwetu ni vinyesi viko bwawani vinamwaga sio mtaani na ni maujiuji tu
Mvua imenyesha ni wakati muafaka wa kutoboa kuflash vyoo vya ghorofa!; utaona mavi ya disaini zote yanaelea [emoji122][emoji122]
Uswazi kwetu raha![emoji274]
 
Nisome tena kijana kabla hujanielewa mdogo wangu
 
Ukitaka ufurahie vizuri maisha ya uswazi uwe mtu wa akili ndogo, upeo mdogo na mwenye kuridhika mapema na maisha madogo.
Hii ni 💯 true. uswazi ukijifanya wew ndo miakili mingi unapiga wenzio gepu la maendeleo subutu,,lazma utapigwa zongo chapu.

nakumbuka kitaani wale wote waliokuwa wanafanya mambo yaliyotafsiriwa kuwa makubwa kama kufungua mangishopu pale kitaani waliishia kupata uchizi unashangaa mtu anaongea na kujijibu mwenyewe tulikuwa tunasema jamaa amekuwa mento.

uswazi hautakiwi kuonekana eti upo siriazi na laifu unapotezewa ramani chapu.

inatakiwa uwe oyaoya au kavipi basi fanyia mambo yako mbali uko apo kitaa wasijue.
 
Ukianza kuona mwanaume anaanza kuona maisha ya watu ni uswahilini basi ujue ni dalili kwamba hata malinda hana, anapenda mserereko...
Unaishi kwa shemej yako unaanza kuona watu wengine wanaish hovyo, sasa wewe na dada yako hapo ni nini
 
nashaur sana watu kuhama kwenye mitaa ya uswazi ..unakuta nyumba za mtaa mzima bati zinafanana kwa ukomavu wa maji na jua ..na hata mienendo na tabia za watu zinakushawishi uishi kama wao ...chuki ,uchawi wivu na vitisho vinakuja pale unapotaka kujitofautisha na wao..imagine unashusha mjengo wa maana alafu wa kisasa uswazi kitakachokupata hutosahau kwenye maisha yako
 
Ila mimi, nawaogopa sana, watu wanao weka mbele imani hii ya uchawi, watu wenye kuweka mbele imani za kichawi, hata wakiishi uzunguni, muda wowote na atakua mchawi.
.Ushirikina ndiyo hupelekea watu kuwa mchawi, tabia ya kishirikina chanzo chake ni hofu, na kupelekea kupoteza imani juu ya ulinzi wa Mungu, hivyo kutafuta Ulinzi mbadala.
.
.Hivyo namwogopa sana mtu mwenye hofu na Uchawi, hafai kuwa jirani yangu.
 
Mchawi anamjua mchawi mwenzakee mkuu [emoji23] haiwezekan ujengeee ety useme wachawi watakwandamaa ingali unakutaa hakuna hata mtu mwenye time naweee ila mtu unajishuku tu mtaa huu Kuna wanga Sanaa ...

Umemjibu vyema jamaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…