Maisha ya uzee mambo gani ya kufanya nikiwa najiandaa na uzee wangu?

Maisha ya uzee mambo gani ya kufanya nikiwa najiandaa na uzee wangu?

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
11,208
Reaction score
20,517
Za leo waungwana,

uzee sasa umepiga hodi na nguvu zimeanza kuniishia.

Maisha ya uzee yameshaniingia, ni vitu gani nifanye au niandae, ili nisikose mlo pamoja na majukumu mengine ya muhimu ndani ya nyumba wakati huu kabla sijakaa chini kutokana na kuishiwa kabisa nguvu ya kutafuta.

Asanteni kwa wenye uzoefu
 
Jiepushe na kwenda 'kutafunia' gesti.[emoji276]
 
Utuambie kwanza mpaka unafikia umri huo wa uzee una jishughulisha na shughuli gani ya kukuingizia kipato!

Baada ya hapo, tutapata namna bora ya kukusaidia.
 
Mali zipo shambani


Tengeneza mazingra Rafiki ya kurudi kijijini kwenu
 
Utuambie kwanza mpaka unafikia umri huo wa uzee una jishughulisha na shughuli gani ya kukuingizia kipato!

Baada ya hapo, tutapata namna bora ya kukusaidia.
.nilikuwa najishughulisha na kazi ya Bar pamoja na kufua nguo kwa watu
 
Mali zipo shambani


Tengeneza mazingra Rafiki ya kurudi kijijini kwenu
Kule kjijini maisha ni mazuri sana kwa umri wa uzee hasa baada ya kustaafu,hakuna hekaheka kama mijini...
 
Kule kjijini maisha ni mazuri sana kwa umri wa uzee hasa baada ya kustaafu,hakuna hekaheka kama mijini...
Sawa nashukuru mkuu, ngoja ntafute pesa ninunue shamba kule kijijini huu mwaka ukiisha mwakani nihamie kijijini.
 
Back
Top Bottom