Haya baba yangu. Kama huamini maneno ya Mungu basi waamini wahenga waliosema: "lisemwalo lipo, kama halipo, linakuja!"Haya ni maneno ya kujifariji, ni sawa na wale waliopigana vita vya majimaji wakiamini ukisema maji risasi zinageuka kuwa maji.
Sijui ni nini, ila ni wajibu wangu kuhakikisha mtoto wangu anapata elimu boraKusomesha ni uwekezaji au huduma?
Tanzania Kuna kina Dr. Dre wangapi? Hela siyo kila kitu. Uzee ni mjadala wa kitaifa na kimataifa.Dr dre Ana 60s na yupo vzr kikubwa ujitunze na kupunguza ngono
Mkeo akishazeeka mara 100 wewe unaakua na nguvu yeye hana tena nguvu hata za kusonga ugali na wanawake wana tabia ya kutia huruma kwa hio kwa kutia huruma kwake watoto watamwangalia yeye zaidi kuliko wewe sababu yeye ndie aliewanyonyesha mpaka wanakua wewe hukuwahi kuwanyonyesha watoto wako wakiwa wadogo kwa hio watoto hutembea na ile bond ya mama yao tangu wakiwa wadogo mpaka wanakua kuna memories hua hazifutiki hata ufanyaje ndio maana kuna familia Baba ukianzisha ugomvi na mama watoto wote utaona wanakusaliti na kukaa upande wa Mama yao hata km mama yao ndie mwenye makosaMama atakuwa amenipiga bao, kwa kunufaika na watoto huku mimi nikiwa nateseka kama simba dume aliezeeka na kutelekezwa porini na uzao wake.
Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana, ngoja nijipikie chakula changu.
Gharama nafuu unabakiza chenji ya kukutunza ukaajiri hata House GirlUkiwasomesha za gharama nafuu ndio hawatakuacha??!! Kama furaha yako katika maisha ina mtegemea mtu baki basi inawezekana ukawa disappointed na maisha mara nyingi sana
Hii picha inatumika kila mahali. Nimeanza kuiona siku nyingi kweli kweli. Ukiwa na maskini, hakuna stage ya maisha ni nzuri. Na ukiwa na fedha, hakuna stage ya maisha ni mbaya au ya ukiwa.Nimekuja kugundua, kuhangaika kwangu kote katika kusomesha vijana wangu shule za gharama kubwa, kumbe najitengenezea bomu la maisha ya upweke na yasiyo kuwa na matumaini uko uzeeni.
Vijana watakuwa na maisha yao, na hawatakuwa tayari kuwa karibu na mimi (baba), zaidi ya kumpenda mama yao zaidi.
Mama atakuwa amenipiga bao, kwa kunufaika na watoto huku mimi nikiwa nateseka kama simba dume aliezeeka na kutelekezwa porini na uzao wake.
Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana, ngoja nijipikie chakula changu.
View attachment 3400407
Ebu fafanua Mkuu kwanza about my concern.Tanzania Kuna kina Dr. Dre wangapi? Hela siyo kila kitu. Uzee ni mjadala wa kitaifa na kimataifa.
Iko siku utarejea ulichokiandika hapa utashangaa kuwa labda ulipoandika ulikuwa umetekwa na watu wasiojulikana wakakulaximisha uandike!
Maisha ya uzeeni Kwa wanaume ni changamoto Sana na hasa kama uzee unakukuta ukiwa maskini.Ebu fafanua Mkuu kwanza about my concern.
Uzee hauji ghafla Mkuu ikiwa haujapata magonjwa hakuna kitu cha kuhofiaMaisha ya uzeeni Kwa wanaume ni changamoto Sana na hasa kama uzee unakukuta ukiwa maskini.
Hebu fikiria mwanaume ambaye anapambana watoto wake wasome huku yeye anakopa. Maisha ya kupanga huku anaendesha familia.
Wazia mtu kazeeka na kwenye maisha yake yote aliishia kujenga nyumba yake Moja tu ambayo si ya kupangisha, mwanaume huyo ataendeshaje maisha yake miaka 20 ijayo akiwa anaishi chanika.
Bahati mbaya wanaume ambao hawajazeeka hudhani wazee wataabikao waliishi maisha ya kutapanya mali ujanani... KUA UYAONE😎
Mimi nimekaa na mzee wangu akiwa na 60 na sasa yupo 68yrsMaisha ya uzeeni Kwa wanaume ni changamoto Sana na hasa kama uzee unakukuta ukiwa maskini.
Hebu fikiria mwanaume ambaye anapambana watoto wake wasome huku yeye anakopa. Maisha ya kupanga huku anaendesha familia.
Wazia mtu kazeeka na kwenye maisha yake yote aliishia kujenga nyumba yake Moja tu ambayo si ya kupangisha, mwanaume huyo ataendeshaje maisha yake miaka 20 ijayo akiwa anaishi chanika.
Bahati mbaya wanaume ambao hawajazeeka hudhani wazee wataabikao waliishi maisha ya kutapanya mali ujanani... KUA UYAONE😎
Sasa we mzee kupika tu ndio unapiga pamba na mkanda unachomekea?Nimekuja kugundua, kuhangaika kwangu kote katika kusomesha vijana wangu shule za gharama kubwa, kumbe najitengenezea bomu la maisha ya upweke na yasiyo kuwa na matumaini uko uzeeni.
Vijana watakuwa na maisha yao, na hawatakuwa tayari kuwa karibu na mimi (baba), zaidi ya kumpenda mama yao zaidi.
Mama atakuwa amenipiga bao, kwa kunufaika na watoto huku mimi nikiwa nateseka kama simba dume aliezeeka na kutelekezwa porini na uzao wake.
Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana, ngoja nijipikie chakula changu.
View attachment 3400407
Karibuni wazee watarajiwa, kwa maoni na michango kwa mada husika, huku ukijiandaa kupambana na vita vyako mwenyewe vya uzeeni.
Kumbuka, usipojiandaa vizuri, kazi ya kuosha vyombo na kupeleka wajukuu shule utakabiziwa wewe.
HahahahaUkizeeka ukiwa mjini, kesi zote za ushirikina unasukumiwa wewe 😀
DR HAYA LAND Uzee ni kweli hajui ghafla, jee ukwasi ama umaskini ni mambo ya kujitakia? Unajua jinsi wanaume wanavyokumbwa na upweke uzeeni?
Umewahi kujiuliza ni kwa nini walinzi wengi ni wazee na wengine wanazo familia zao? Uzee wa wanaume una ukiwa sana.
Sijasema kuwa hakuna wanaume wanaofurahia maisha yao ya uzeeni, mmojawapo ni huyo Mzee wako.