Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina.

Wabongo karibu wote mnaamini uchawi tu.

Kama si uchawi huo wa ushirikina ni uchawi wa imani za dini, ambao nao ni uchawi tu ila mmeuoa soecial status kwamba ni imani ya Mungu.

Ukishaona habari za miujiza miujiza tu ni uchawi tu huo.

Ila mmefundishwa kuukataa uchawi wenu kuwa ni ushenzi, mkashikishwa uchawi wa wazungu na waarabu, mkaambiwa hii ni dini.
 
Subiri asimulie na kutoa dukuduku lake.Ubishi na maswali yako utayaleta mwisho wa masimulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…