joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii ndio nchi inayojisifia barabara za juu majumba marefu yaliyopo Nairobi. Kenya mpo na safari ndefu sana kufika katika hatua ya kustaarabika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio nchi inayojisifia barabara za juu majumba marefu yaliyopo Nairobi. Kenya mpo na safari ndefu sana kufika katika hatua ya kustaarabika.
They never kill each other, they never own guns illegally, they never still each other cattle, they never break any law. Failed state.Maisha ya mtanzania 21st centuery
View attachment 1267953
View attachment 1267954
![]()
Hadza archers in Tanzania.WOODLOUSE VIA FLICKR
They are bushman but never threaten lives of others or break Any law, the subject here is owning guns illegally and kill each other like wild animalsHadzabe Ni Bushmen of East Africa
They never kill each other, they never own guns illegally, they never still each other cattle, they never break any law. Failed state.
Acha kupoteza mada, onyesha ni wapi ambako wananchi wanamiliki silaha haramu, serikali inajua na haichukui hatua badala yake inawapa silaha ili wajilinde?
Hawa wezi hapa tokea Ruvuma!
Ulisema nyumbani hamna wizi wa mifugo? Tena itakuwa wanakuja kuiba kwa vijiko na mwiko wa kusongea sima? Wee boya kweli!Acha kupoteza mada, onyesha ni wapi ambako wananchi wanamiliki silaha haramu, serikali inajua na haichukui hatua badala yake inawapa silaha ili wajilinde?
Tunazungumzia watu kumiliki silaha kiholela kama hakuna serikali, huku kwetu wezi wa mifugo ni kama wameisha, na wakitokea kuiba, wanatumia silaha za jadi sio bunduki. Tanzania ukikamatwa na silaha haramu, ni sawa na kifo, POLISI watakumaliza, hii ni nchi ya amani na Upendo.Ulisema nyumbani hamna wizi wa mifugo? Tena itakuwa wanakuja kuiba kwa vijiko na mwiko wa kusongea sima? Wee boya kweli!
Tunazungumzia watu kumiliki silaha kiholela kama hakuna serikali, huku kwetu wezi wa mifugo ni kama wameisha, na wakitokea kuiba, wanatumia silaha za jadi sio bunduki. Tanzania ukikamatwa na silaha haramu, ni sawa na kifo, POLISI watakumaliza, hii ni nchi ya amani na Upendo.
Hadzabe Ni Bushmen of East Africa
Amani na Upendo eti?Njombe: Mwanamke ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua na kumla nyama Mtoto wake
Mwanamke mmoja anaejulikana kwa jina la Christina Mlelwa(38) mkazi wa Kijiji cha Mavanga kata ya Mavanga kitongoji Cha mji mwema wilayani Ludewa mkoa wa Njombe anashikilikiwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumchinja mwanae Joseph Gumbilo(4) mwenye ulemavu wa viungo na kumla nyama Awali...www.jamiiforums.com
Wizi kwenu kibao Sana nafikiri ni vile media yenu imelalaThey are bushman but never threaten lives of others or break Any law, the subject here is owning guns illegally and kill each other like wild animals
Nani amesema wako Kenya don't be defensive bana.USILETE UJUAJI HAPA, HAWA WAKO TANZANIA PEKEE. TUNAWAJUA, MKIONA KITU HAKIKO KENYA MNAANZA KUJIFANYA MNA MAHABA NA EAST AFRIKA.
Nani amesema wako Kenya don't be defensive bana.
Sasa wewe mbona pimbi kiasi hicho?, sisi tunazungumzia watu kumiliki silaha ambazo zinatumika na majambazi na mwezi kuwadhuru watu wengine, wewe unazungumza " mental cases", huko kwenu kila siku mnauana, juzi afisa wa KDF amuwauwa MKE na watoto wake wawili. Acha ubishi, Tanzania inashika namba 54 kwa amani duniani wakati Kenya mpo namba 143, hatulingani na ninyi watu katili sana.Amani na Upendo eti?Njombe: Mwanamke ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua na kumla nyama Mtoto wake
Mwanamke mmoja anaejulikana kwa jina la Christina Mlelwa(38) mkazi wa Kijiji cha Mavanga kata ya Mavanga kitongoji Cha mji mwema wilayani Ludewa mkoa wa Njombe anashikilikiwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumchinja mwanae Joseph Gumbilo(4) mwenye ulemavu wa viungo na kumla nyama Awali...www.jamiiforums.com
KABOOOM!! 😂 😂 😂Maisha ya mtanzania 21st centuery
View attachment 1267953
View attachment 1267954
![]()
Hadza archers in Tanzania.WOODLOUSE VIA FLICKR
Juzi kati kama sikosei hivi walipewa tuzoUSILETE UJUAJI HAPA, HAWA WAKO TANZANIA PEKEE. TUNAWAJUA, MKIONA KITU HAKIKO KENYA MNAANZA KUJIFANYA MNA MAHABA NA EAST AFRIKA.