Maisha ya Wakenya ndani ya karne ya 21

Maisha ya Wakenya ndani ya karne ya 21

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hii ndio nchi inayojisifia barabara za juu majumba marefu yaliyopo Nairobi. Kenya mpo na safari ndefu sana kufika katika hatua ya kustaarabika.
 
Hii ndio nchi inayojisifia barabara za juu majumba marefu yaliyopo Nairobi. Kenya mpo na safari ndefu sana kufika katika hatua ya kustaarabika.

Maisha ya kistaraabu ya mtanzania 21st century

1574310457638.png

1574310599238.png

Africa, Tanzania, Lake Eyasi, Hadza hunters with bow and arrow. Hadza are a small tribe of hunter gatherers Stock Photo

Hadza archers in Tanzania.WOODLOUSE VIA FLICKR
 
Acha kupoteza mada, onyesha ni wapi ambako wananchi wanamiliki silaha haramu, serikali inajua na haichukui hatua badala yake inawapa silaha ili wajilinde?
Ulisema nyumbani hamna wizi wa mifugo? Tena itakuwa wanakuja kuiba kwa vijiko na mwiko wa kusongea sima? Wee boya kweli!
 
Ulisema nyumbani hamna wizi wa mifugo? Tena itakuwa wanakuja kuiba kwa vijiko na mwiko wa kusongea sima? Wee boya kweli!
Tunazungumzia watu kumiliki silaha kiholela kama hakuna serikali, huku kwetu wezi wa mifugo ni kama wameisha, na wakitokea kuiba, wanatumia silaha za jadi sio bunduki. Tanzania ukikamatwa na silaha haramu, ni sawa na kifo, POLISI watakumaliza, hii ni nchi ya amani na Upendo.
 
Amani na Upendo eti?
 
Amani na Upendo eti?

SASA UNAFIKIRI TANZANIA KUNA BUNDUKI ZINACHEZEWA HOVYO KAMA HIVI?
 
They are bushman but never threaten lives of others or break Any law, the subject here is owning guns illegally and kill each other like wild animals
Wizi kwenu kibao Sana nafikiri ni vile media yenu imelala
 
Amani na Upendo eti?
Sasa wewe mbona pimbi kiasi hicho?, sisi tunazungumzia watu kumiliki silaha ambazo zinatumika na majambazi na mwezi kuwadhuru watu wengine, wewe unazungumza " mental cases", huko kwenu kila siku mnauana, juzi afisa wa KDF amuwauwa MKE na watoto wake wawili. Acha ubishi, Tanzania inashika namba 54 kwa amani duniani wakati Kenya mpo namba 143, hatulingani na ninyi watu katili sana.
 
Back
Top Bottom