SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Haka ni kamchezo kakuringishia pipi ya kijiti amfuate tu waongee wayamalize sio ana tumia chambo cha pesa akijua ni ugonjwa wa fulani, Si juzi juzi kuna mtu alipiga yowe hapa katafuniwa hela zake sio huyu kweli?kumbe madam hakuzimaliza.
....oooopsss...asavali umerudi bosslady mwenyewe!umbwa unanianza eeh? nilikua kimya kumbe kituntuni kilikua kinawasha boss wako warumi sipo, mimerudi rasmi sasa
Mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan amesema ameanza kuingiza faida kutokana na uwekezaji aliyoufanya baada ya kutoka kwenye shindano la hilo ambalo lilimpatia zaidi ya Sh500 milioni.
Akizungumza na Bongo5, Idris alisema tayari ameanza kuona faida ya pesa ambazo aliwekeza kwenye biashara zake.
“Kwa sasa hivi matunda nimeanza yaona, kuna kipindi fulani nilikuwa sitoki sana, watu wakasema Idris amepotea kwa muda mrefu, hicho ndo kipindi ambacho nilikuwa busy kuweka mambo sawa, unajaribu kufanya hichi, unajaribu hichi ilimradi kuweka mambo sawa,” alisema Idris.
“Kwa hiyo sasa hivi ndiyo naona inshallah mambo yameanza kunyooka. Kazi zinaanza kutoa malipo ambayo yalitakiwa yatoke tangu zamani, lakini biashara zimechukua muda mrefu kidogo kutoa yale malipo ambayo yalikuwa yanastahili,”
Pia Idris amesema kwa sasa anafurahia kazi yake mpya ya utangazaji ambayo anafanya Choice FM.
Uko sahihi. Si unakumbuka Gadna alivyokuwa ananadi Nyumbani Lounge miaka ile kabla hajamwagana na mwanamuziki wake?sion ubaya was yeye kuajariwa ili hali miradi yake pembeni inaenda vizuri wadau pia kumbukeni hapo choice akipatumia vizuri anapromo deal zake huko huko,go on idrisa
Kijana ali jiajiri kwenye kazi ya kuchimba kisima na kukijaza maji ime mkosti na kisima chenye hakijai ila yeye ndio kasafishwa na kuanza kudai eti kuna watu wame mtafunia hela zake,ni swali kwa kila mtu kiasi kama hicho kisha uajiriwe?sio rahisi kuamini ila ndio ukweli.Million 500 unaajiriwa? why cant he come up with something tangible and make wonders? i doubt maneno yake!
Yalisha myookea sasa hivi ana hesabu hasara tu.Mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan amesema ameanza kuingiza faida kutokana na uwekezaji aliyoufanya baada ya kutoka kwenye shindano la hilo ambalo lilimpatia zaidi ya Sh500 milioni.
Akizungumza na Bongo5, Idris alisema tayari ameanza kuona faida ya pesa ambazo aliwekeza kwenye biashara zake.
“Kwa sasa hivi matunda nimeanza yaona, kuna kipindi fulani nilikuwa sitoki sana, watu wakasema Idris amepotea kwa muda mrefu, hicho ndo kipindi ambacho nilikuwa busy kuweka mambo sawa, unajaribu kufanya hichi, unajaribu hichi ilimradi kuweka mambo sawa,” alisema Idris.
“Kwa hiyo sasa hivi ndiyo naona inshallah mambo yameanza kunyooka. Kazi zinaanza kutoa malipo ambayo yalitakiwa yatoke tangu zamani, lakini biashara zimechukua muda mrefu kidogo kutoa yale malipo ambayo yalikuwa yanastahili,”
Pia Idris amesema kwa sasa anafurahia kazi yake mpya ya utangazaji ambayo anafanya Choice FM.
Hutaki kiswahili?Choice FM ni zamani... Sasa hivi full kiswahili. Itaanza kushindana na clouds sasa
Kwa mshahara wa laki sita?Soon atanunua ile private jet alisemaga
Kuona kuomba ajira na kuna kufanya kazi kwa hobby na pia mkumbuke yule jamaa ni mchekeshaji na bado anahitaji umaarufu Zaidi ya sasa, Mkumbuke si watanzania wote walokuwa wanafatilia hizi big brother na pia si wote wapo istagram, bado anahitaji umaarufu Zaidi ili ile kazi yake au kipaji chake cha comedy kiende sawa, na njia ya kwenda kuwa mtangazaji ukawa unasikika sikika ndani ya mwaka au miaka 2 akihama steshen tofauti tofauti na hasa clouds inayosikika kwingi baadae mtakuja shangaa, jamaa ana kichwa na malengo yake ni Zaidi unavyomjua ni kajanja kajanja flani.Hajasema kawekeza kwenye nini, na ni vipi CEO mzima unaenda kuomba ajira ya utangazaji
So utajiri hadi unaanzia kwenye umaarufu kwanza?Kuona kuomba ajira na kuna kufanya kazi kwa hobby na pia mkumbuke yule jamaa ni mchekeshaji na bado anahitaji umaarufu Zaidi ya sasa, Mkumbuke si watanzania wote walokuwa wanafatilia hizi big brother na pia si wote wapo istagram, bado anahitaji umaarufu Zaidi ili ile kazi yake au kipaji chake cha comedy kiende sawa, na njia ya kwenda kuwa mtangazaji ukawa unasikika sikika ndani ya mwaka au miaka 2 akihama steshen tofauti tofauti na hasa clouds inayosikika kwingi baadae mtakuja shangaa, jamaa ana kichwa na malengo yake ni Zaidi unavyomjua ni kajanja kajanja flani.
KABSAA HASA KATIKA MASWALA YA ENTERTAINMENT INDUSTRY, kama ni Mfanyakazi au Mkulima huitaji umaarufu, kama ni mfanyabiashara huitaji umaarufu, ila kama uko kwenye hizo habari za Kwenye hiyo Industry inabidi uwe hivyo tu huna ujanja.So utajiri hadi unaanzia kwenye umaarufu kwanza?
KABSAA HASA KATIKA MASWALA YA ENTERTAINMENT INDUSTRY, kama ni Mfanyakazi au Mkulima huitaji umaarufu, kama ni mfanyabiashara huitaji umaarufu, ila kama uko kwenye hizo habari za Kwenye hiyo Industry inabidi uwe hivyo tu huna ujanja.