nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Maisha sio masiharakutoka kwenye umilionea mpaka utangazaji, kweli maisha yamemnyokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha sio masiharakutoka kwenye umilionea mpaka utangazaji, kweli maisha yamemnyokea
Maisha sio masihara.....na muda huwezi urudisha nyuma ye......CEO Wa kampuni yenye faida anahamka SAA kumi kwenda kwenye ajira akitoka SAA nne Na hizi foleni uchofu masaa zaidi ya Saba atakuwa anamtumikia mwajiri wake kama kampuni Yake inafaida kwa nini asisimamie kampuni Yake awe anaenda huo muda Wa kazini ofisini kwake si angekuwa Na mafanikio Mara mbili maisha aya aya tusidanganyane
Bila shaka itakuwa ya kuchafua mazingira......Biashara gani anafanya
horses are ridden not driven......... Just sayingIF words were horses,everyone could drive one!
sijakuelewa.KUFIKIRI NI KAZI NGUMU SANA NDIO MAANA WENGI TUNAKIMBILIAGA KUHUKUMU TU.
Yaani mtu akikwama kidogo tu eti kafulia, mara oooh kabuma! Binadamu buana!
sijakuelewa.