Maisha yaanza kumnyokea Idris Sultan

Maisha sio masihara.....na muda huwezi urudisha nyuma ye......
 
Biashara gani anafanya
Bila shaka itakuwa ya kuchafua mazingira......
Huyu kwa hiyo senti aliyowahi ishika...angewekeza kwenye Ardhi...angalau tujumba uswahilini...angekuwa na wapangaji...uahakika wa sente...na kuacha kudanganya watu kwamba yeye anamafanikio....wakati twaona kabisa anatumwa kazi na watu wa kawaida kabisa.....yeye kwa sasa angetakiwa kutuma sio kutumwa ...ngedereeee.
 
Maisha yamnyookee mara mbili? Alivyopata 500m+ alikuwa hajanyookewa? au Mchwa walimnyoosha wakambakiza empty?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…