Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika sana na tatizo siyo wanaokutumia ila wewe unayetumika.
Wema siyo kutumika, huwezi kumfurahisa kila mtu. Acha kuishi bila mipaka, zuia wanaonyonya nguvu zako ( muda, akili na muda wako).
Wema siyo kutumika, huwezi kumfurahisa kila mtu. Acha kuishi bila mipaka, zuia wanaonyonya nguvu zako ( muda, akili na muda wako).