Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Katika maisha tunaishi na slogan inayoitwa the lost address, hata KAZI tunazofanya hazikuwa za ndoto zetu ni basi tu tumejikuta no way tupo , na kwenye mahusiano ni hivyo hivyo wengi tuliotamani kuwaoa au kuolewa sio tulionao Kwa Sasa , nilichojifunza ni kwamba watu wanabadilika positively na negatively, yupo mke au Mume unaweza usiwe unampenda na pengine unatest tu zari baadae ukanasia pale na maisha yakasonga vizuri ila Kuna yule uliyeona ukimpata ndio furaha na tulizo lako baadae anakugeuka na kuwa kama fisi! Mungu hakupi unachopenda anakupa unachostahili
 
Hi guys,

Hope mmekuwa na mapumziko poa,

Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari.

Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi naye siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then?

This is serious, natamani kweli kujifunza, kuna majuto yoyote? Kuna utofauti mkubwa sana? Mko na furaha? Matarajio yako yamefikiwa? Are you thanking God for that? And why?

Please, Mr. Liverpool VPN and the Co, this ain't your cup of tea.

Niko nimekaa pale nasubiri miujiza na shuhuda zenu mbalimbali.
Title unashida
 
Katika maisha tunaishi na slogan inayoitwa the lost address, hata KAZI tunazofanya hazikuwa za ndoto zetu ni basi tu tumejikuta no way tupo , na kwenye mahusiano ni hivyo hivyo wengi tuliotamani kuwaoa au kuolewa sio tulionao Kwa Sasa , nilichojifunza ni kwamba watu wanabadilika positively na negatively, yupo mke au Mume unaweza usiwe unampenda na pengine unatest tu zari baadae ukanasia pale na maisha yakasonga vizuri ila Kuna yule uliyeona ukimpata ndio furaha na tulizo lako baadae anakugeuka na kuwa kama fisi! Mungu hakupi unachopenda anakupa unachostahili
Ndio zina mambo ya ajabu sana.

Umashan.gaa mke wa mtu anakuambia siri za mumewe
 
Kwa kwli nahitaj kufNya versetomy. Nisipate watoto.
 
Back
Top Bottom