Maisha yamekua magumu

ha ha ha... pole sana mkuu!! kumbe umeajiriwa? sorry nimekua mbinafsi kwa kujiwazia sisi madeiwaka tu.

nimeangalia kwa upande wa kwetu wauza vitumbua maana wateja tunao wengi daily.

Mimwenyewe hapa nasubiria mvua tu ile zikianza nahamia kwenye kilimo naama haya nizaidi ya mateso
 
Acha niwahi nafasi

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] what for?? Au sku hz ni dili kuwah nafas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…