Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hahahahaaa! Si kweli. Nimepiga ramli nimekuona kwa "Mwagongo" unapata komoni na bagia kutoka Nyabula. Kumbi ndauli!!!Pesa IPO. Na inakidhi mahitaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa! Si kweli. Nimepiga ramli nimekuona kwa "Mwagongo" unapata komoni na bagia kutoka Nyabula. Kumbi ndauli!!!Pesa IPO. Na inakidhi mahitaji.
ha ha ha... pole sana mkuu!! kumbe umeajiriwa? sorry nimekua mbinafsi kwa kujiwazia sisi madeiwaka tu.
nimeangalia kwa upande wa kwetu wauza vitumbua maana wateja tunao wengi daily.
Wewe Darasa la Saba uliyekaa kwenye system muda mrefu ukawa unagoma kujiendeleza kielimu wamekuondoa kwenye payroll
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una laki ya fasta hapo uniassist?Pesa ipo.
Kama unafanyakazi utaiona tu. Mimi nina hela. Ila rafiki zangu siwezi kuwaambia kama nina hel a. Naogopa watanikopa.
Wakilalamika maisha ni magumu , nami nawaambia, ni kweli Magumu.
sent by Samson Cyper
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] what for?? Au sku hz ni dili kuwah nafas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha niwahi nafasi
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]