Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita.
Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita – kabla ya uchaguzi wa mwisho. Ni asilimia 10% pekee wamesema hali imeboreshwa.
Maeneo yaliyoathirika zaidi ni Ukanda wa Mashariki na Nyanza (82%), yakifuatiwa na Nairobi na Mlima Kenya (79%).
Sababu kuu zilizotajwa kuwa chanzo cha hali hii ni ufisadi, uongozi duni, ukabila na migawanyiko ya kikabila, pamoja na gharama kubwa ya maisha.
======For English Audience=======
The latest poll by the Trends and Insights for Africa (TIFA) has laid bare the suffering Kenyans are going through since President William Ruto took over power two and half years ago.
The poll found that majority of Kenyans feel the country is headed in the wrong direction. The poll, released on Wednesday, shows that 75 per cent of Kenyans who were asked to compare their current economic situation with what it was three years ago, days before the presidential election, said that their way of life had become worse, with only 10 per cent characterising it as better while 13 per cent indicated that it had remained the same.
Among the majority who reported that their way of life had changed to worse, Lower Eastern and Nyanza were the majority standing at 82 per cent followed by Nairobi and Mt Kenya at 79 per cent.
Corruption, poor leadership, tribalism and ethnic tensions and inflation, cost of living were among the key factors perceived to be undermining Kenya’s development.
SOURCE: THE STANDARD