Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Kuna Baa moja hapa nimezama na mim kwa leo, yani wanaume wote counter tumenuna tupo buyu, bar ina wanawake wengi saana lakini tunaziangalia tu zikijipitisha hakuna cha kuwaita wala kuwasemesha.
Mimi ni nani nianze kusaliti kambi na huku hela ngumu balaa
๐๐๐๐
Mimi ni nani nianze kusaliti kambi na huku hela ngumu balaa
๐๐๐๐