Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #261
Nikiwa tayari kuiuza nitakutafuta mzee babaWeka picha. Niuzie hiyo GX kwa 2m nii-pimp nije kuiuza 5m.
**tunanufaika na shida zenu nyie wavivu
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo.
Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa ngumu sana kwa maana siku hizi kuna Bajaj.
Mtu anaona bora akodishe Bajaj kwa bei nafuu ndio ampeleke mgonjwa hospital au kwenda mjini. Sisi Taxi Drivers tupo hoi biashara imeshuka. Kabla ya Bajaj kuja huko mambo yalikuwa shwari sana mwaka jana 2019, ila sasa hivi ni balaa tupu.
CHASER AVANTE NUMBER "A"
View attachment 1652148
Kabla ya kuja Bajaj kulikuwa na hawa bodaboda ambao wao hawakuwa kikwazo kwetu kwa maana mtu hawezi kukodi bodaboda akabeba maharusi au akampeleka mama mjamzito kujifungua hospitali ya mbali.
Niliwahi kuwaza niendeshe gari hii kama Uber ila kutokana na ukubwa wake wa engine nisingeweza kupata faida yoyote. Ninaombeni msaada wenu wa mawazo.
Waaaaaaaaaaahhhhhhh[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Bajaj ni bei ya gar mkuu inakaribia 8M kama una passo ukikutana na bajaj pak pemben apite maana anaendesha chombo ya gharama kuliko yako[emoji3]
Ina-consume mafuta mengi lakini zamani nilikuwa ninapata faida kwa kiasi fulani tofauti na sasa...Da pole ndugu yangu, tax now days zinachangamoto sana. Utandawazi umerahisisha viusafiri vya haraka, tax inaonekana old school pia tax ni gharama ukilinganisha na bajaji na boda kwa sababu ya mafuta inayo consume.
Really? Mbona ninazidi kutishika sasa mzee baba?
Asa Milioni saba si bora anunue Vitz..[emoji853]yani ununue babaji milioni 7 ili dereva akuletee sijui 20,000 kwa siku mpaka upate faida cjui lini hapo una-assume haijaharibika ,haijakamtwa,hujaibia spare,haijapata ajali ,mwendo wa presure tu
Kwan second hand ya japan na tz ni tofauti ni nini? ilhali zote zilianza zikiwa mpya?Japani mkuu
Tz wanatengeneza magari?Kwan second hand ya japan na tz ni tofauti ni nini? ilhali zote zilianza zikiwa mpya?
Jamaa anas
Jamaa leo unafiki umemshinda.
Si bora afungue kiwanda bodaboda akili lazima idumae!Endesha bodaboda
Ni kweli mkuu mfano bodaboda wateja wao wakubwa ni wadada ,,Bajaj ni mchanganyiko hasa wamama wa sokoni,wanaume kama hana gari au pikipiki yake binafsi ni aidha atakuwa na baiskeli hasa wa mjini kufanya shanting za hapa na pale ila kupanda Bajaj ni kwa shingo upandeKwasababu unaamini Bajaj ndio mchawi wako subiri ziishe au na wewe nunua Bajaj.
Siku moja nilipanda Taxi na jirani kulikuwa na Bajaj na bodaboda. Nikamuuliza Yule dereva wa taxi biashara vipi naona hapa mna ushindani na Bajaj na bodaboda.
Akaniambia kuna abiria wa Bajaj,wa bodaboda na wa taxi. Akaniuliza mbona wewe umeacha bajaj na bodaboda umekuja kuchukua taxi?
Kila mtu na abiria wake, jipange mdogo wangu shida inaweza kuwa wewe tukianza na gari unayotumia kufanya taxi.
Sawa mzee babaEndesha bodaboda
Wanapunguza mawazo kwa kunywa beer kidogoSijaelewa
Kama maisha magumu, hao wateja wa pub utawatoa wapi. Hauoni kwamba utakua unajiumiza tena?
Sawa kaka mkubwa. Ninakushukuru sana kwa ushauri wako mwananaUza nunua bajaji.
Lazima ujifunze kuishi baharini na nchi kavu. Na uwe unabadirika kulingana na mazingira kama kinyonga.
Kaka mkubwa, usiishi kwa kukariri maisha, hakuna asiyependa kupanda chombo kizuri cha usafiri mkuu...Ni kweli mkuu mfano bodaboda wateja wao wakubwa ni wadada ,,Bajaj ni mchanganyiko hasa wamama wa sokoni,
Kiwanda cha 3 Millions mkuu? Kitakuwa kinatengeneza nini mkuu kiwanda hicho?Si bora afungue kiwanda bodaboda akili lazima idumae!
Mkuu, kwa tafsiri yako wewe ni kwamba madereva bodaboda wamedumaa akili? Watake radi vijana wenzio mkuu.Si bora afungue kiwanda bodaboda akili lazima idumae!
Kuna uhusiano gani kati ya kutengeneza magari na nilicho kuuliza?Tz wanatengeneza magari?