Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 10,677 Reaction score 11,768 Dec 28, 2020 #281 King Kong III said: Achana na biashara ya Pub utakuja kuokota makopo kwa uchizi ,fungua mgahawa wa chakula,vinywaji(maji+soda) ,walevi nao hawana hela siku hizi. Click to expand... Mkuu kwa biashara uliyo itaja (mgahawa) nikiwa na Milioni 2 kama mtaji, naweza ifanya?
King Kong III said: Achana na biashara ya Pub utakuja kuokota makopo kwa uchizi ,fungua mgahawa wa chakula,vinywaji(maji+soda) ,walevi nao hawana hela siku hizi. Click to expand... Mkuu kwa biashara uliyo itaja (mgahawa) nikiwa na Milioni 2 kama mtaji, naweza ifanya?