Kwan hiyo gari alimpa dereva au alikia anaendesha yeye? Mm nimemshauri anunue aendeshe yeye bajaj inafaida kubwa Sana ukiisimamia mwenyewe usimpe mtuyani ununue babaji milioni 7 ili dereva akuletee sijui 20,000 kwa siku mpaka upate faida cjui lini hapo una-assume haijaharibika ,haijakamtwa,hujaibia spare,haijapata ajali ,mwendo wa presure tu
Kuna ndugu yangu mmoja anayo Bajaj na anapewa pesa hii kila siku...yani ununue babaji milioni 7 ili dereva akuletee sijui 20,000 kwa siku
yani usifanye shughuli yoyote uwe muendesha bajaji tu duh!!Kwan hiyo gari alimpa dereva au alikia anaendesha yeye? Mm nimemshauri anunue aendeshe yeye bajaj inafaida kubwa Sana ukiisimamia mwenyewe usimpe mtu
anapewa sh ngapi,bajaji kanunua sh ngapi ,service anafanta mara ngapi kwa muda ganiKuna ndugu yangu mmoja anayo Bajaj na anapewa pesa hii kila siku...
Kwani kuwa dereva wa Bajaj ni dhambi mkuu? Hii si ni kazi tu kama kazi zingine.yani usifanye shughuli yoyote uwe muendesha bajaji tu duh!!
Noma sana yaani kuiuza milioni 3 hiyo ufunge na kuombaReally? Mbona ninazidi kutishika sasa mzee baba?
Jf wote wanafanya kazi kwenye ACKwani kuwa dereva wa Bajaj ni dhambi mkuu? Hii si ni kazi tu kama kazi zingine.
Mhhh...Achana na biashara ya Pub utakuja kuokota makopo kwa uchizi
Unaonekana we ni mgumu sana kuelewa au hujasoma uzi , mtoa mada kashasema sahiv anaendesha Tax mi nmemshaur ananue bajaj aendeshe, Kwan kuendesha bajaj siyo Kaz?yani usifanye shughuli yoyote uwe muendesha bajaji tu duh!!
angekua na uwezo wa bajaji c asingekuja humu mkuu,hiyo gari ziwe mbili ndio thamani ya bajajiUnaonekana we ni mgumu sana kuelewa au hujasoma uzi , mtoa mada kashasema sahiv anaendesha Tax mi nmemshaur ananue bajaj aendeshe, Kwan kuendesha bajaj siyo Kaz?
Ukiuza hiyo unanunua boxer mpya kabisa, ila sio bajajUza nunua bajaji.
Lazima ujifunze kuishi baharini na nchi kavu. Na uwe unabadirika kulingana na mazingira kama kinyonga.
Mpe walau 2.5m , 2m hata boxer hapati kwa mhindiWell picha. Niuziehiyo GX kwa 2m nii-pimp nije kuiuza 5m.
**tunanufaika na shida zenu nyie wavivu
Mkuu, mbali na boxer siku hizi kuna pikipiki vijana wanazipenda sana, zinaitwaje zile?Mpe walau 2.5m , 2m hata boxer hapati kwa mhindi
Sawa mkuuUkiuza hiyo unanunua boxer mpya kabisa, ila sio bajaj