Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

Dada usihamishe magoli. Vipi hiyo naniii bado inakulipa au?
Sister usitafute mabwana kwa mgongo wangu wewe njoo direct kwamba jamaniee, mwenzenu nina bidhaa hapa nauza, watu watakuja tu inbox.

Sasa hii ya kuja kwenye nyuzi zinazoongelea mambo mengine kabisa kutafuta waume kwa kificho haitakusaidia.

Alafu mbona Melo karahisisha sana? Kila kitu na jukwaa lake, wenzio wanaotaka mabwana wako kwenye jukwaa la mahusiano, wewe uko busy kwenye nyuzi za watu, shida ni nini? Stress za kukosa ukuni au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…