Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

Na bado huu ni mwanzo tu. Miaka hii mitano ijayo hali ya kiuchumi Nchini itakuwa mbaya sana kuliko wakati wowote tangu tupate uhuru na kama una vijisenti vyako benki viondoe maana yanaweza kuwekwa masharti ya kutoa pesa benki na hata baadhi ya benki zinaweza kufilisika. Akili mkichwa.
 
Na bado huu ni mwanzo tu. Miaka hii mitano ijayo hali ya kiuchumi Nchini itakuwa mbaya sana kuliko wakati wowote tangu tupate uhuru na kama una vijisenti vyako benki viondoe maana yanaweza kuwekwa masharti ya kutoa pesa benki na hata baadhi ya benki kufilisika. Akili mkichwa.
Mhhh
 
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo.

Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa ngumu sana kwa maana siku hizi kuna Bajaj.

Mtu anaona bora akodishe Bajaj kwa bei nafuu ndio ampeleke mgonjwa hospital au kwenda mjini. Sisi Taxi Drivers tupo hoi biashara imeshuka. Kabla ya Bajaj kuja huko mambo yalikuwa shwari sana mwaka jana 2019, ila sasa hivi ni balaa tupu.

CHASER AVANTE NUMBER "A"

View attachment 1652148

Kabla ya kuja Bajaj kulikuwa na hawa bodaboda ambao wao hawakuwa kikwazo kwetu kwa maana mtu hawezi kukodi bodaboda akabeba maharusi au akampeleka mama mjamzito kujifungua hospitali ya mbali.

Niliwahi kuwaza niendeshe gari hii kama Uber ila kutokana na ukubwa wake wa engine nisingeweza kupata faida yoyote. Ninaombeni msaada wenu wa mawazo.
Hivi hii biashara ya taxi bado ipogo?
Uza hiyo,nunua bajaji moja na nyingine mfungulie mamaz ki streetshop
 
Uza gari fungua biashara ya mgahawa na uisimamie mwenyewe, watu ni lazima kila siku wale chakula hivyo ni jambo la muhimu.

Kufungua pub ni jambo la ziada tu, siyo lazima kila siku watu kunywa pombe.

Ukizingatia huu ushauri wangu utakuja kunishukuru siku zijazo.
Hujawahi hata kufanya biashara ya mgahawa wewe. Hakuna biashara ngumu kama mgahawa.
 
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo.

Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa ngumu sana kwa maana siku hizi kuna Bajaj.

Mtu anaona bora akodishe Bajaj kwa bei nafuu ndio ampeleke mgonjwa hospital au kwenda mjini. Sisi Taxi Drivers tupo hoi biashara imeshuka. Kabla ya Bajaj kuja huko mambo yalikuwa shwari sana mwaka jana 2019, ila sasa hivi ni balaa tupu.

CHASER AVANTE NUMBER "A"

View attachment 1652148

Kabla ya kuja Bajaj kulikuwa na hawa bodaboda ambao wao hawakuwa kikwazo kwetu kwa maana mtu hawezi kukodi bodaboda akabeba maharusi au akampeleka mama mjamzito kujifungua hospitali ya mbali.

Niliwahi kuwaza niendeshe gari hii kama Uber ila kutokana na ukubwa wake wa engine nisingeweza kupata faida yoyote. Ninaombeni msaada wenu wa mawazo.
Mkuu hili gari ni lako au la huyo jirani yako?
 
si umisema maisha uswazi ni magumu.. sasa hiyo PABU ukifungua utapata walevi wakati hawana kitu AROSTO
 
yani ununue babaji milioni 7 ili dereva akuletee sijui 20,000 kwa siku mpaka upate faida cjui lini hapo una-assume haijaharibika ,haijakamtwa,hujaibia spare,haijapata ajali ,mwendo wa presure tu
Hiyo 20,000 kwa siku ndiyo faida yenyewe, of course ukitoa gharama za uendeshaji. Million 7 ndiyo mtaji wenyew. Kwa maneno mengine faida inatengenezwa siku bajaj inaanza kuoperate, na siyo eti faida ni kurudisha million 7. Inaelekea hujawahi kufanya biashara.
 
Back
Top Bottom