Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Natamani niende jera miezi mitatu nikatulize akili na kubadilisha mazingira huenda nikawa sawa
Maisha ni magumu sio mchezo
Maisha ni magumu sio mchezo
KabisaNenda kaka ukale ugali wa kengele na
Gerezani wahuni watakugeuza mke waoNatamani niende jera miezi mitatu nikatulize akili na kubadilisha mazingira huenda nikawa sawa
Maisha ni magumu sio mchezo
Like seriously?Natamani niende jera miezi mitatu nikatulize akili na kubadilisha mazingira huenda nikawa sawa
Maisha ni magumu sio mchezo
Akitoka atakuwa hana malinda huyu mtoto wa mama kabisa kajilegezaPole sana mkuu, heri ujiadhibu kufanya kazi ngumu kama viwandani na ufundi, kule ukitoka hautakuwa sawa tena!
umeacha kazi yako ya polisi?Natamani niende jera miezi mitatu nikatulize akili na kubadilisha mazingira huenda nikawa sawa
Maisha ni magumu sio mchezo