BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Labda Mimi BabaMorgan I'm too young to understand kumbe inawezekana mtu kutoka jijini Dar es salaam na kwenda Mwanza kutafuta mganga alafu huku mjini ameaga kuwa kaenda Mwanza kikazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hapo karibu...watu wanaenda Nigeria au Malawi kufwata waganga itakuwa hapo Sengerema?Labda Mimi BabaMorgan I'm too young to understand kumbe inawezekana mtu kutoka jijini Dar es salaam na kwenda Mwanza kutafuta mganga alafu huku mjini ameaga kuwa kaenda Mwanza kikazi.
Halafu huko vijijini akatapeliwa na mganga fekiLabda Mimi BabaMorgan I'm too young to understand kumbe inawezekana mtu kutoka jijini Dar es salaam na kwenda Mwanza kutafuta mganga alafu huku mjini ameaga kuwa kaenda Mwanza kikazi.
Waulize wanaotembea zaidi ya km 500+ kwenda kutafuta wagangaNini kimekupata..!?
Nimekubali ni heri nirudi kwetu Namtumbo Mimi sipendagi MasimangoBaba morgan vipi shemeji anasemaje ashakukatia tiketi?
Acha madharau mkuu hii ni Jamiiforum where we dare to talk openly mtu anapowasilisha mada yake ni vyema kama huna cha kuchangia Bora ukae kimya. Unapata Nini kunidharau wakati hunijuiKama sio mtindio wa ubongo basi una msongo wa mawazo, au tayari mdudu keshaingia kwenye embe?
Maisha yana mengi sana.[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu huko vijijini akatapeliwa na mganga feki
Muwe na shaka na maisha yenu mkuu.
Unakubalije kirahisi mbona unatuangusha wanajf wenzioNimekubali ni heri nirudi kwetu Namtumbo Mimi sipendagi Masimango
Acha unafiki ulinipa mbinu Gani?Unakubalije kirahisi mbona unatuangusha wanajf wenzio
Tulikupa mbinu hujazitumia hizo mbinu?
Si ulisema jumatatu tusubiri utakuwa maarufu Tanzania nzimaAcha unafiki ulinipa mbinu Gani?