Silent King
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 163
- 366
Hujakosea hata chembe ndugu yangu. Hizo wanazoita surprises ni uvivu tu wa watu kutofuatilia details. Kila mtu anavuna alichopanda, hakuna cha ziada. Ni hesabu fupi sana ya logic versus wishful thinking.No bro,
Maisha hayana surprises.
Kila hatua ya maisha ya mtu yoyote yule ni matokeo ya factors ndogo ndogo zenye kuleta matokeo unayoyaona sasa hivi.
Marcostilone au nimekosea ndugu?
Hakika mkuu.🔥🔥Hujakosea hata chembe ndugu yangu. Hizo wanazoita surprises ni uvivu tu wa watu kutofuatilia details. Kila mtu anavuna alichopanda, hakuna cha ziada. Ni hesabu fupi sana ya logic versus wishful thinking.
Napenda kutofautiana na wewe kidogo, unaposema kufuata details au taratibu au formula ya mafanikioHujakosea hata chembe ndugu yangu. Hizo wanazoita surprises ni uvivu tu wa watu kutofuatilia details. Kila mtu anavuna alichopanda, hakuna cha ziada. Ni hesabu fupi sana ya logic versus wishful thinking.
Ule ni utapeli na ujinga wa watu,naweza sema hivyo kwa maoni yanguVipi kuhusu yule Babu wa Loliondo alivyokuja kupiga hela uzeeni,
Ile ni surprise au tuiitaje?
Vipi kuhusu ma last born waliogeuka kuwa mizigo na mateso makubwa kwa familia zao? Hayo nayo ndio yalikuwa makusudi ya mungu kwa hizo familia kutokana hao lastborn kuzaliwa?Nikiwa kijana mkubwa wa secondary,kama unavyojua kuna kipindi kinafika unaona kabisa hapa wazazi inabidi wasiendelee kuzaa sasa,kwanza kutokana na umri wao lakini pili ile kuona inakuwaje bimkubwa na umri huu anabeba mimba
Ilikuwa inanipa shida kidogo,lakini sikujua kwamba Mwenyezi Mungu anasababu kubwa sana ya kumleta yule dogo akiwa kama last born pale nyumbani
Miaka kadhaa baadae, huku ukubwani dogo huyo ndio kawa nguzo ya familia kwa kiasi kikubwa sana,yeye ndio kajaliwa uchumi mzuri sana na anaisadia familia kwa kiasi kikubwa sana
Hakika kuna mambo Mwenyezi Mungu pekee ndio anajua,nimejifunza kitu kimoja kikubwa kwamba,kila kitu hutokea kwa sababu
Kwahiyo si kazi yako kujaji mambo ambayo huwa yanatokea hapa duniani just wait and see,utashangazwa na hekima ya Mwenyezi Mungu.
Silent king
Huwezi kusema ni makusudio ya Mungu kuwafanya wawe wakorofi na kusumbua wazaziVipi kuhusu ma last born waliogeuka kuwa mizigo na mateso makubwa kwa familia zao? Hayo nayo ndio yalikuwa makusudi ya mungu kwa hizo familia kutokana hao lastborn kuzaliwa?
Nami naamini hivyo kwa asilimia zoteMkuu binadamu ni viumbe wajinga sana..
Wanahisi wanaweza ku control maisha yao
Only God is the answer
Kama mungu ndio anawajibika kuinua watu kwa ajili ya kutumikia familia zao basi pia ndiye anawajibika kwa wale watu waliokuwa mizigo na mateso kwenye hizo familia. Mfano rahisi ni kama vile kiongozi akijenga barabara anasifiwa na asipojenga anapaswa kulaumiwa na kuwajibishwa.Huwezi kusema ni makusudio ya Mungu kuwafanya wawe wakorofi na kusumbua wazazi
Lakini hatuwezi kuweka kila kitu kwenye kapu moja,hapa nazungumzia uwezo wa Mungu kuinua baadhi ya familia kupitia viumbe wake au kupitia wanafamilia wengine
Watu wajinga ni wanaofikiri hawana wajibu katika ku control maisha yao. Maendeleo unayoona Japan, Marekani, Europe, Canada, Australia, Singapore, Israel, China, Korea Kusini na kwingine kwingi yametokana na binadamu wa hizo nchi kuamini wana nafasi kubwa ya wao wenyewe ku control maisha yao wenyewe.Mkuu binadamu ni viumbe wajinga sana..
Wanahisi wanaweza ku control maisha yao
Only God is the answer
Hakuna kitu kama hicho. HIYO INATOKEA NI KWA TANZANIA TU. MTU UNAJITUMA SANA KTK KAZI ZAKO IWE KILIMO AU BIASHARA ZAKO. LAKINI UNACHOAMBULIA NI HAMNA KITU UKILINGANISHA NA NGUVU ULIYOTUMIA. HAYO NDIO MATOKEO YA SIASA MBOVU ZA CCM.Napenda kutofautiana na wewe kidogo, unaposema kufuata details au taratibu au formula ya mafanikio
Sio kwamba watu hawazifuati,ila naamini mafanikio sio kupambana tu,kwasababu kuna watu wanapambana sana lakini mafaniko yao sio makubwa
Naamini rikizi ni kutoka kwa aliyetuumba,tunazo fanya ni sababau tu
ZinawezaJitihada haziwezi kuzidi kudra ya Mwenye Enzi Mungu
Hapa tuna mawazo pishaniZinaweza