Nipo kwenye Coaster ya Temeke - Stesheni muda huu. Ni wawili tu tumevaa barakoa.Wacha tuu nionekane mshamba. Hapa nipo kwenye daladala (Tena sio kifodi ni coaster) lakini Ni Mimi peke yangu ndo nimevaa na it's ouky kujilinda ni muhimu.
Tanzania si kisiwa kumbuka Kama kwa wengine bado upo Hali still muingiliano ni mkubwa,muhimu kuendelea kuchukua taadhari binafsi kuliko kuwasikiliza wanasiasa wenye malengo ya kisiasaUgonjwa umesha isha, tusonge mbele achana na hofu zisizo za lazima.
Hata mimi nimeliona hili,kwa sisi tunaotumia usafiri wa umma mnaweza kujikuta mko wawili au watatu mliovaa barakoa. Sasa sijui Rais anaposema ugonjwa umepungua ila tuendelee kuchukua tahadhari hua wananchi wanamuelewa vp.
Pigo lilianza ChinaHuyu mzee bado sijaelewa anachokitafuta..
Thats why I love you. Take careWacha tuu nionekane mshamba.... Hapa nipo kwenye daladala (Tena sio kifodi Ni coaster) lakini Ni Mimi peke yangu ndo nimevaa na it's ouky kujilinda Ni muhimu
Kwa hiyo hujaamini kama ngoma imedunda Tz!Pigo lilianza China
Ikaja Iran
Ikahamia Italy
Ikawatandika Spain
Ikavamia England gafla
Ikalipua USA sasa iko Brazil inachakaza tu sasa inatuchora tu,mataifa yote yako vizuri kimfumo wa afya sisi ni kina nani?
Nashukura kwa kunitengenezea tabasamu asubuhi hiiBarakoa muhimu, sema mimi huwa naisahau nyumbani
Kabisa. Alafu unaweza kuta ayo ni mashariti wa waganga wake wamempa. Wanataka damu za Watz.Ajabu sana kwamba Tz tuna discourage watu kuvaa barakoa. Tuna serikali ya kienyeji zaidi duniani.