Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje korona imeisha? nini kimeimaliza?Acheni mambo yenu. Tz corona imesha Isha. Wasiwasi wenu tu na hayo mavisukari, HIV na mapumu yenu. Tulio kamili gado tunapeta bila hata ya barakoa
Aya bana uzuri ni kwamba korona haichagui,inalenga wazembe tu...ngoja tuone huu mwaka unaishaje.Acheni mambo yenu. Tz corona imesha Isha. Wasiwasi wenu tu na hayo mavisukari, HIV na mapumu yenu. Tulio kamili gado tunapeta bila hata ya barakoa
Kenya shule zitafunguliwa SeptemberHivi kwa jinsi hali ya corona ilivyo Africa unadhani tunatofautiana kwenye athari za huu ugonjwa kutokana na mikakati ya nchi husika? Yani mfano Tanzania au Burundi ambako inaonekana kuchukulia poa corona kuna tofauti za hali ya corona ukifananisha na mfano Kenya, Uganda au Rwanda?
Wameamua kufungua.Kenya shule zitafunguliwa September
Basi walinde hao wenye pumu sukari na hiv. Unaandika kama vile umeshikishwa ukuta huku unaandika.Acheni mambo yenu. Tz corona imesha Isha. Wasiwasi wenu tu na hayo mavisukari, HIV na mapumu yenu. Tulio kamili gado tunapeta bila hata ya barakoa
Nikiwa kwenye daladala leo nimeona konda anamuita abiria pekee aliyekuwa amevaa barakoa hivi: "we barakoa chukua chenji yako...!"