Maisha yanabadilika: Phone Book ya Mwakyembe contacts zake. Mungu tu ndo anajua anakoelekea

Maisha yanabadilika: Phone Book ya Mwakyembe contacts zake. Mungu tu ndo anajua anakoelekea

mimi sina njaa kama wewe ulivyo na njaa... naweza kukuchukua wewe na mumeo na watoto wenu wale wawili nikawalea nikawalisha vizuri na shule mkaenda. mwambie yeye afanye hivyo kama anaweza. mimi nakutunza wewe na mumeo na watoto wenu na dada zako wale wawili na kaka yako yule teja. we utakaa kwangu ule na kunywa na kujisaidia bure kabisa mpaka ufe kwa uzee. na hata mumeo pia.
Duuuuh umetisha bro
 
Kipindi kile Mwakyembe alipokuwa waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Phone Book yake ilikuwa na majina haya
Eng: Mwakitalu
Dr: Lusingo
Prof:Ambalisye
Eng: Mushi
Contractor Mabula
n.k

alipokuja kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Lawyer Andulile
Lawyer Lusungu
cons and pros Law Firm
n.k

LEO HII NI WAZIRI WA STAREHE, BURUDANI NA HABARI

hamorapa
gigy money
amba lulu
ray kigosi
mwogo mchungu
dimond
ali kiba
wema team
lulu
wolper
chid benz
ney wa mitego
naco 2 naco
ommy

MSISHANGAE MUDA SI MUDA NAYE ATASHIRIKISHWA KWENYE CORRABO FLAN HIVI. Au akaamua kuchana mistari.leo hii mwakyembe amekuwa ni mtu wa kuzungunga na ney wa mitego, roma n.k kwnye vyombo vya habari. na hapo hajapangiwa ratiba ya kukutana na giggy money au akatafuta ratiba ya kukutana na amber lulu.

aisee..sijui hii dunia inazungukaje? sometime dunia inaenda kama nyoka, kona kona kibao. la msingi anakula pesa za umma. hilo ndo la kuwaza ila haya mengine yapo above level yake. SASA HATUJUI BAADA YA HAPO ATAPEWA UWAZIRI GANI ULIOBAKIA KUSHUKA CHINI.
We jamaa ni nooma nimecheka sana, halafu Mwakyembe ni home boy kabisa, ila tu sasa hivi amekuwa wa ovyo sana.
 
Mwakyembe amedhalilisha sana wanyakyusa. Wengi wanalalamika wanasema labda alipopelekwa nje kwa matibabu walibadilishiwa wakaletewa fake. Huyu wa sasa ni wa ajab ajab sana. Ameshapoteza heshima amebak mtu wa kupelekwa pelekwa tu na kuchumia tumbo
 
Back
Top Bottom