Maisha yanabadilika: Phone Book ya Mwakyembe contacts zake. Mungu tu ndo anajua anakoelekea

Duuuuh umetisha bro
 
We jamaa ni nooma nimecheka sana, halafu Mwakyembe ni home boy kabisa, ila tu sasa hivi amekuwa wa ovyo sana.
 
Mwakyembe amedhalilisha sana wanyakyusa. Wengi wanalalamika wanasema labda alipopelekwa nje kwa matibabu walibadilishiwa wakaletewa fake. Huyu wa sasa ni wa ajab ajab sana. Ameshapoteza heshima amebak mtu wa kupelekwa pelekwa tu na kuchumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…