Maisha yanabadilika sana

Maisha yanabadilika sana

jamaikatz

Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
58
Reaction score
155
Maisha Yana Badirika sana

Kuna Muda unaweza kufikiri kwamba umefika mwisho Kila kitu kimeisha na hakuna tena TUMAINI la maisha.

Lakini MUNGU anavyobadirisha maisha ya MTU ni kwamba ... Muda uleule unaofikiri kwamba Kila kitu kimeisha na umefika mwisho ndipo anafanya muujiza.

Unashangaa kunafulsa inatokea ambayo ukutarajia kabisa na unagundua kwanba huyu ni MUNGU ameanza kubadili maisha.

Usikate Tamaa ya Maisha , unauwezo mkubwa sana Ndani Yako.

Maadamu Bado unaishi basi kunamambo mengi unapaswa kufanya ambayo ukiamua kuyafanya yatabadirisha maisha Yako jumla.

Usikate Tamaa, usikate Tamaa. Nakuombea Mungu sana hata kama unapitia hali ngumu sana , hali ya kufeli na kukataliwa ila usikate Tamaa....

Natumahi kunakitu utakuwa umejifunza.
 
Takwimu zinaonesha kwamba asilimia kubwa ya watu wanaokata tamaa tatizo lao kubwa huwa si kwamba maisha ndiyo yamekuwa magumu, bali wameshindwa kuona fursa zingine nyingi walizo nazo.

Wanaangalia upande mmoja tu na hasa kile walichopoteza au wasichokipata na kusahau nafasi zingine nyingi zilizo mbele yao.

Walioanzisha msemo wa ku-move on waliona mbali sana.

Ni mpuuzi pekee ndiye atategemea mabadiliko huku akirudia kufanya jambo lilelile kwa namna ileile.

Kuna watu hawawezi kupiga hatua yoyote kimaisha eti tu kwa sababu mipango yao imeonekana kuvurugika au kutotimia kama walivyojiwekea. Huo ni upumbavu mkubwa.
Screenshot_20240716-190453-1.jpg


Ni upuuzi kuyahafifisha maisha kiasi cha kudhani ni kama hesabu zenye jibu moja tu.

The only essential thing that an individual needs for their success and prosperity is simply their own life - to be alive!

As a matter of fact, life itself is a classic definition of achievement. Add some spices to that and, voilà!
 
Back
Top Bottom