Maisha yanachanganya sana wadau kila kitu kinapanda bei

Maisha yanachanganya sana wadau kila kitu kinapanda bei

Captain mopao

Senior Member
Joined
Feb 25, 2021
Posts
133
Reaction score
384
Wadau saivi
  • Ges imepanda bei
  • Vifurush vya simu vimepanda bei
  • Kodi ya ardhi majengo zimepanda bei
  • Vifaa vya ujenzi havishikiki tena
  • Mafuta ya kula yamepanda bei
Ngoja na mimi nianze kujishughulisha na CCM naweza pata neema...! Hakuna namna😁
 
Haya ni maneno ya motivational speakers, mambo kama hayaendi, hayaendi tu
Tangu mlijue hilo jina motivational speaker basi ushauri wote mnaubatiza hilo jina. Haya mambo hayaendi kaa usubiri yataenda yenyewe.
 
Back
Top Bottom