Captain mopao
Senior Member
- Feb 25, 2021
- 133
- 384
Ambao hawajui kupanda kwa bidhaa kina mwigulu nchemba huku nje ya mfumo ata upige kaz vp ni sawa na unaendesha baskeli iliopigwa standPiga kazi, tengeneza pesa kiasi kwamba hata vikipanda wala hujui.
Ushajiwekea limit utabaki hapo hapo.Ambao hawajui kupanda kwa bidhaa kina mwigulu nchemba huku nje ya mfumo ata upige kaz vp ni sawa na unaendesha baskeli iliopigwa stand
Haya ni maneno ya motivational speakers, mambo kama hayaendi, hayaendi tuUshajiwekea limit utabaki hapo hapo.
Hv hayo mafuta ndo yale yanayotumika kulainisha kura za ccm au.?Mafuta ya kura yamepanda bei
Tangu mlijue hilo jina motivational speaker basi ushauri wote mnaubatiza hilo jina. Haya mambo hayaendi kaa usubiri yataenda yenyewe.Haya ni maneno ya motivational speakers, mambo kama hayaendi, hayaendi tu