Maisha yanaenda kasi sana

Maisha yanaenda kasi sana

Watu wanajuana humu, watu wanajua watu humu pamoja na ID zao fake nk. Unadhani kwanini taarifa za kifo chake ziliweza kufika humu haraka.
Mimi nikifa sidhani kama kuna mtu ataleta taarifa zangu humu. Humu kuna mtu ananijua ila hajui ndugu yangu hata mmoja so nae hawezi jua dah inauma
 
Mama na Baba yangu 2021. Keep resting in Paradise. Pole nyote mliopoteza wapendwa wenu.
 
R.I.P Sajuki, Ben kiko, Mzee Small, Fredwaa,Issac Gamba, Samadu Hassan, Mohammed Dahman, Gadner G Habash, Koffi Annan, Ali Hassan Mwinyi, Robert Mugabe, Edward Lowassa, …
 
Back
Top Bottom