Rapper Ilunga Khalifa aka Cpwaa, alifariki dunia usiku wa kuamkia January 17, 2021 baada ya kulazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, ilikua siku ya JumapiliCpwaa kafa lini mkuu[emoji3064][emoji102]
Kweli Mzee Babu alikuwa very strictly. Mwenyezi Amrehemu.RIP Babu yangu, nakumbuka kuna siku ulinitia mabanzi kisa nilikuja kula chakula nikiwa tumbo wazi ukasema '...ndio adabu gani hii unakulaje chakula ukiwa umekaa uchi? Nenda ndani kavae Shati haraka mabanzi mabanzi...'
Ulinitia mabanzi mbele ya bibi, kaka na dada zangu ila nikajikokota hivyo hivyo huku machozi yananilengalenga nikaenda chumban kuvaa Shati nikarudi kuja kuendelea kula pamoja nanyi na tangia hapo sijawahi tena kula chakula nikiwa tumbo wazi mpaka leo..
rest easy grandpa
RiP Paul Karegeya.Rip Paul Rwigema
Amigolas!? Lini huyu jamaa!? Usije ukawa unamaanisha " baba Diana, baba Sharifa...Aisha madinda,amigolas
Na Gwiji la Habari za Uchunguzi "Stan Katabalo " wa gazeti Mfanyakazi likitoka kila Jumamosi. Mmoja wa victim wa kwanza katika habari kutolewa kafara na Mafisadi waliotaka ufisadi wao ubaki sirini. Apumzike Kwa Amani.Kandoro,kolimba,karugendo(mwandishi),Elvis musiba,et el.
Othuman Momba wa Msondo Ngoma Jazz Band. Ndiye aliyetunga wimbo wa "Lucy Bandawe" aliyekuwa mkewe kipindi yupo hai.MOMBA ndo yupi?
Hapo "God Mjelwa" ulimaanisha "John Mjema"!? RIP Steve 2K.Dah leo nimewakumbuka Mr. Ebbo (me mmasai bwana nasema mm mmasai), Mtoto wa Dandu, Said Mwamba Kizota, Ruge Mutahaba, God Mjelwa, Ephraim Kibonde na Mkewe. Waendelee lupumzika kwa aman
Daah!! Aisee, huyo alikuwa Mwamba kweli kweli. Mwenyezi Amrehemu. Alithibitisha ubaba ni sacrifice.My step father R.I.P
Ulikubali kuishi na Mama yetu tukiwa watoto 4 huku Watoto 3 wakiwa sio damu yako-ulitutetea pale tulipobaguliwa na ndugu zako.
Kupitia utu uzima wangu huu ndio nimetambua uamuzi wako ulikuwa wa kishuja na upendo-hukufikiria perception ya jamii na nduguzo.Ulichukua uamuzi ambao hata Mimi kwa sasa siwezi kuuchukua Mungu akurehemu huko ulipo,Daima nitaliendeleza Jina lako.
Zilikuwa ni sera mbovu tu, sidhani ni sahihi kusema kuwa alikuwa na maslahi yake binafsi hapoAsilale pema alituvurugia sana elimu yetu kwa maslahi yake binafsi
Hiyo stori ya David sounds very interesting.R.i.p Babu yangu wajina kipenzi changu ulinipenda tangu nikiwa mdogo, upendo wako haukujificha mbele za ndugu zangu jamaa na marafiki.
R.i.p Mjomba wangu haakika ulikuwa zaidi ya wajomba kwangu ulikuwa mkali lakini kwangu tulielewana sanaa, ulikuwa rafiki kwangu saizi sina mjomba rafiki japo wapo 4 nitakumisi mjomba wangu japo naumia kukukosa.
R.i.p rafiki angu wa utotoni David upumnzike kaka, Maisha yako yalikatishwa na Baba ako mzazi kwa uongo aliopewa, leo mzee wako anasota gerezani mwaka wa 13 sasa.
Kwanini aliwatetea sana wakenya kuja kufanya kazi nchini wakati huo kazi hizo zinaweza kufanywa na watanzaniaZilikuwa ni sera mbovu tu, sidhani ni sahihi kusema kuwa alikuwa na maslahi yake binafsi hapo
Moses Bushangama ni RIP kitambo.Duuh.
Ndio najua leo kumbe Mez B alishatangulia mbele ya haki.
#MaendeleoHayanaChama
RIP Sebastian Kinyondo "mzee wa mitemba"Professor Haroub Othman, Professor Mushi, Professor Wangwe, The Genius of Football Godfrey Born Mwandanje, Mitimingi, Asasi, Said Bwana Mdogo, Samwel Sitta, Mzee Kandoro, Mzindakaya, Ditopile, Jaka Mwambie, Gulamali Abasi, Justin Mtekele, Hamis Gaga, Said Mwamba Kizota, Deo Filikunjombe, Sultan Mangungo wa Musovero, Omary Makunganya, Abushiri bin heri, Jackson Makweta, Charles Kabeho (waziri wa elimu enzi zetu primary), Mafuruki, Imran Kombe, Komandoo Tamim, Zackaria Hans poppe.
Katika hao wote ninayemlilia na kumkumbuka daima hadi nami dunia inichukue ni mwamba jembe aka jiwe, aliyewafanya walamba asali waufyate mkia kama mbwa koko.R.I.P
Nyerere, Magufuli, B Mkapa, J Kijazi, Maalim Seif, Augustino Mrema, Basil Mramba, Reganald Mengi, Ruge Mutahaba, Beno Ndulu, Getrude Lwakatare, King Majuto, Mwl Kashasha, Maalim Gurumo, TX Moshi, Selemani Mbwembwe, Mwanyiro, Momba, Banza Stone, Waziri Sonyo, Mangwea, Langa, Kanumba, Masogange, Mpakanjia, Amina Chifupa, Joseph Mungai, Christopher Mtikila, Shekh Ilunga, Gorogosi, Mez B, Jebby, Sharo Millionaire, Subash Patel n.k, hii ni Tanzania tu!
Kweli Duniani tunapita na hawa ni wale baadhi ya watu maarufu tu. Unaweza ukaona kama juzi tu lakini ndiyo safari yetu.
Leo nimewakumbuka hawa. [emoji25][emoji29]
Mtaje unayemkumbuka ukijisikia.
Patrick KaregeyaRiP Paul Karegeya.
Hapana aisee hiyo huyo, huyu God Mjelwa alikuwa graphics designer mmoja matata sana, yeye ndiyo alidesign ile nembo ya chui kwenye bia ya serengeti. Mabango mengi sana yale ya Fiesta za kipindi kile yeye ndiyo alikuwa akidesign. RIP mwambaHapo "God Mjelwa" ulimaanisha "John Mjema"!? RIP Steve 2K.