Maisha yanaenda resi aisee ati mda si mrefuu chawa nawe anakuwa na chawa wakee..niongezee sautii??

Maisha yanaenda resi aisee ati mda si mrefuu chawa nawe anakuwa na chawa wakee..niongezee sautii??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Nimekubali chawa n kazi kama kazi zingine

Usiunderestimate machawa kabisaa

Mda si mrefu soon tutaonaaa

Waliokuwa machawa kwa mda mrefuu nao wanakuwa na machawa

Aisee maisha punguza kesii ukoresi sana
 
Back
Top Bottom