Maisha yanakosa maana pale ambapi hata kile kidogo kinachokupa furaha maishani kinaondoka

Don Buyoya

Member
Joined
Jun 13, 2024
Posts
78
Reaction score
261
Sometimes unajiuliza maisha yana maana gani?

Aisee waliosema "It takes courage to love" hawakukosea.

Nilikutana na huyu binti mzuri sana, zaidi ya sana mahala fulani hapa dar. Kuna kitu niliangusha akaniokotea na kuniita kisha akanipatia. Nikampa lift hadi karibu na anapokaa kisha nikachukua namba.

Ni mpole na ni mzuri kwelikweli.

Polepole tukaanza mahusiano. Baada ya miezi kama mitatu hb kuna mambo nikawa siyaelewi kati yake na marafiki zake wengine wa kike. Nikaanza kuhisi kuna mambo yasiofaa wanayafanya ila sikutaka kumuuliza sabab ni type ya wanawake wasiopenda sana maneno maneno.

Ikabidi nianze kufuatilia locations zake nikajua kuna mahala anaenda sana. Siku moja katoka huko akaja kwangu kama vile anaumwa na kalegea sana, alikua ananukia shisha sana. Akafika na kulala moja kwa moja. Nilikua nishakariri PIN ya simu yake nikakuta kuna videos walizokuwa wamerekodi huko alipokua hio siku, ni ufirauni wa ajabu niliuona humo, wanawake kwa wanawake akiwemo yeye walikua wanapigana denda na kushikana kimahaba, hakukuwepo na mwanaume kwenye hio video walikuwepo wanawake tu. Kuna binti mmoja nilimfaham mule sababu kuna siku nilimpeleka huyu dem alipopanga nikamkuta huyo binti nje

Nikajikaza kiume nikasema haina shida. Sasa kuna siku nimemtafuta sana kwenye simu sikumpata. Ikabidi niende kwake ni nyumba za kupanga nje kuna fensi, nikagonga nikauliza namtafuta fulani, yule dogo nlomuuliza akarudi ndani nadhan alienda kuuliza kisha akatoka yule binti ambae nadhan ni rafiki wa huyo alokua dem wangu.

Yule binti nikamkumbuka, tukasalimiana nikamuuliza fulan yuko wapi? Akasema "mbona karudi kwao, haujui" nilkasema sijui. Akacheka kweli yule binti akasema "mimi alinambia wewe ni kaka yake toka ile siku umemleta ndo maana nashangaa kwa nn hujui kama kaenda kwao"

Nikamwambia mimi ni boyfriend wake. Yule binti akasema "fulan kaaga anaenda kwao, mie mengine siyajui" nikamuomba kama ana namba nyingine inayopatikana akasema hana.

Huwezi amini, nilikaa wiki 2 hivi yule mtoto hapatikani hata nikitumia simu zingine kupiga hapatikani mwanzo nilidhan kaniblock kumbe sio. Baada ya muda huo ikabidi nirudi tena kwa yule rafiki yake. Aisee majibu niloyapata kule nilikosa hamu kabisa, siwezi sahau yale maneno yule dada alinambia hivi, "Wewe mtu mzima bwana embu acha utoto, fulani yupo kwa mpenzi wake hataki usumbufu ndo maana hapatikani". Nikamkomalia sana yule dada anipe namba zake zinazopatikana akanipa ila akaniambia kwa sauti ya chini sana, huyo mpenzi wake sio mwanaume mwenzako wewe usijisumbue kichwa.

Daah hio siku niliishiwa pozi kabisa, yaani hata kudrive nilishindwa nikaa kama 1 hr hv nimetulia tu ndani. Ndipo nikaanza kuunganisha matukio nikaja kuelewa.

Yule binti nilimpendea upole wake na uzuri wake. Na hakuwa mtu wa maneno mengi, yeye hata kuongea tu ni shida. Alikua ananiheshimu sana na ndo maana akilini nikawa natengeneza future nae.

Ile namba sikuipigia ila nikaitext nikamwambia "Mm fulan nimeshajua ulipo na unachokifanya, njoo home tuzungumze"

Baada ya siku kama nne hivi ile message ndo ikajibiwa akawa anakwepa kabisa anasema hanielewi ninachokiongelea. Nikamwambia rafiki yake alishanambia kila kitu. Akakaa kimya.

Baada ya muda tena akanipigia akasema anakuja kwangu tuongee. Kweli akaja na hio siku akaniambia kila kitu kwamba alikua kwa mwanamke mmoja hv wa makamu, huyo Mama ndie aliemsponsor kila kitu kipindi anasoma chuo hapa town, kwa sasa binti hana kazi ila huyo mama alimuahidi kumtafutia, na ndio aliemuingiza kwenye huo mchezo, na mwanzo alikua anawafanyia wote yeye na yule rafiki yake lakini kwa sasa wapo deep sana huyo mama na dem wangu. Ameahidi hadi kumuoa

Akaniambia yeye hisia za kimapenzi zipo kwangu na ananiheshimu ila huyo mama kamfanyia mengi sana ambayo mimi sitoweza kuja hata kufikia robo. Binti alisoma Baobab akakosa mkopo, baba ake akafariki baada tu ya yeye kuanza chuo lkn huyo mama amekua anamsaidia kila kitu hadi ikifikia hata kwao hawana hela ya kula huyo mama anampa awatumie nyumbani.

Akaniambia kama naweza vumilia angalau amalize kumlipa fadhira huyo mama kisha aachane nae basi nivumilie. Ila ananipenda sana.

Ni kweli binti alikua ananipenda na ndo maana na mm nilimpenda sana, lkn maishan mwangu sikuwah kutegemea kama nitakuja kudate au kuoa mwanamke ambae ni lesbian. Nilipiga moyo konde nikasema nitaachana nae tu.

Huyo mwanamke alikua ndio furaha yangu, muda wote tunadate ndio kilikua kipindi cha furaha sana kwenye maisha yangu, sikuwahi kuwa na furaha kiasi kile kabisa na sidhan kama itatokea tena.

Nyie wanawake wasagaji mnatuharibia mabinti, kama huyu binti kwa sasa yupo kwenye jela ambalo hawezi chomoka. Haiba ya huyu binti ni mpole na mstaarabu na ndio maana anaona lazima amlipe huyo mama msagaji fadhira kwa kuwa nae kwenye mahusiano.

Niishie hapo kwa leo, natafuta heartbroken woman tuje tupozane maumivu, afterall maisha lazima yaendelee.
 
Hutomuweza hata akirudi, jiondoe taratibu labda ujifunze sanaa Yao.
Lakini Ile mimashine bandia itakupiga knockout.

Kimbia.
Nilishaachana nae japo nilimpenda sana.

Na unajua issue ni hisia. Yule dem alikiri alikua na hisia na mm, hata kwenye s.e.x ilikua inaonekana anaenjoy
 
Hapo mwisho kwenye neno haiba yake ndio umeharbu, kuna siku pia ataenda kazwa na dume ile haiba yake na upole utasamehe
 
kama wanasagana wewe koboa si tulikaa kikao wanaume sote tukasema sasahivi hakuna kuogopa kitu isipokuwa tu mke wa mtu..!! nao hatujawwaacha salama na kampeni yetu ya kataa ndoa!
ila twende ndani turudi nje sio tu sisi binadamu tumechanganyikiwa hata system zadunia tu zimeshavurugwa!.. halafu yaonyesha we mgeni wa mapenzi bado!
 
Mwanaume kuumizwa na mapenzi mwisho ni miaka 25 kuzidi hapo wewe ni bwege kama mabwege wengine.
 
Nipasie namba za huyo binti kama hutojali lakini
 
Pambana umpe mimba huyo ili ajue tofauti ya wewe na huyo mama. Mfanyie kitu ambacho sponsor wake hawezi kufanya.
Watalea mkuu, na vile kaambiwa ataolewa si nitakua nimewasaidia kupata mtoto?
 
Hivi mwanaume baharia ngangari unayejielewa unaanza je kusimulia stori za kusagana? Napataga shida sana kuwaelewa wanaume wa aina hizi,mimi hata mambo ya ushoga napataga wakati mgumu sana kuyaelezea,sasa hivi ni kama unakua unasupport hv yaani umefurahia matukio ya kusagana ambayo huwa ni kudhihaki uanaume manaake kama kuna kusagana ina maana wanaume hawana ishu, isee sipendi hizi stori,kama huwa mnatunga muache ni umamaaa🥺🥺🥺
 
Sometimes unajiuliza maisha yana maana gani?

Aisee waliosema "It takes courage to love" hawakukosea.

Nilikutana na huyu binti mzuri sana, zaidi ya sana mahala fulani hapa dar. Kuna kitu niliangusha akaniokotea na kuniita kisha akanipatia. Nikampa lift hadi karibu na anapokaa kisha nikachukua namba.

Ni mpole na ni mzuri kwelikweli.

Polepole tukaanza mahusiano. Baada ya miezi kama mitatu hb kuna mambo nikawa siyaelewi kati yake na marafiki zake wengine wa kike. Nikaanza kuhisi kuna mambo yasiofaa wanayafanya ila sikutaka kumuuliza sabab ni type ya wanawake wasiopenda sana maneno maneno.

Ikabidi nianze kufuatilia locations zake nikajua kuna mahala anaenda sana. Siku moja katoka huko akaja kwangu kama vile anaumwa na kalegea sana, alikua ananukia shisha sana. Akafika na kulala moja kwa moja. Nilikua nishakariri PIN ya simu yake nikakuta kuna videos walizokuwa wamerekodi huko alipokua hio siku, ni ufirauni wa ajabu niliuona humo, wanawake kwa wanawake akiwemo yeye walikua wanapigana denda na kushikana kimahaba, hakukuwepo na mwanaume kwenye hio video walikuwepo wanawake tu. Kuna binti mmoja nilimfaham mule sababu kuna siku nilimpeleka huyu dem alipopanga nikamkuta huyo binti nje

Nikajikaza kiume nikasema haina shida. Sasa kuna siku nimemtafuta sana kwenye simu sikumpata. Ikabidi niende kwake ni nyumba za kupanga nje kuna fensi, nikagonga nikauliza namtafuta fulani, yule dogo nlomuuliza akarudi ndani nadhan alienda kuuliza kisha akatoka yule binti ambae nadhan ni rafiki wa huyo alokua dem wangu.

Yule binti nikamkumbuka, tukasalimiana nikamuuliza fulan yuko wapi? Akasema "mbona karudi kwao, haujui" nilkasema sijui. Akacheka kweli yule binti akasema "mimi alinambia wewe ni kaka yake toka ile siku umemleta ndo maana nashangaa kwa nn hujui kama kaenda kwao"

Nikamwambia mimi ni boyfriend wake. Yule binti akasema "fulan kaaga anaenda kwao, mie mengine siyajui" nikamuomba kama ana namba nyingine inayopatikana akasema hana.

Huwezi amini, nilikaa wiki 2 hivi yule mtoto hapatikani hata nikitumia simu zingine kupiga hapatikani mwanzo nilidhan kaniblock kumbe sio. Baada ya muda huo ikabidi nirudi tena kwa yule rafiki yake. Aisee majibu niloyapata kule nilikosa hamu kabisa, siwezi sahau yale maneno yule dada alinambia hivi, "Wewe mtu mzima bwana embu acha utoto, fulani yupo kwa mpenzi wake hataki usumbufu ndo maana hapatikani". Nikamkomalia sana yule dada anipe namba zake zinazopatikana akanipa ila akaniambia kwa sauti ya chini sana, huyo mpenzi wake sio mwanaume mwenzako wewe usijisumbue kichwa.

Daah hio siku niliishiwa pozi kabisa, yaani hata kudrive nilishindwa nikaa kama 1 hr hv nimetulia tu ndani. Ndipo nikaanza kuunganisha matukio nikaja kuelewa.

Yule binti nilimpendea upole wake na uzuri wake. Na hakuwa mtu wa maneno mengi, yeye hata kuongea tu ni shida. Alikua ananiheshimu sana na ndo maana akilini nikawa natengeneza future nae.

Ile namba sikuipigia ila nikaitext nikamwambia "Mm fulan nimeshajua ulipo na unachokifanya, njoo home tuzungumze"

Baada ya siku kama nne hivi ile message ndo ikajibiwa akawa anakwepa kabisa anasema hanielewi ninachokiongelea. Nikamwambia rafiki yake alishanambia kila kitu. Akakaa kimya.

Baada ya muda tena akanipigia akasema anakuja kwangu tuongee. Kweli akaja na hio siku akaniambia kila kitu kwamba alikua kwa mwanamke mmoja hv wa makamu, huyo Mama ndie aliemsponsor kila kitu kipindi anasoma chuo hapa town, kwa sasa binti hana kazi ila huyo mama alimuahidi kumtafutia, na ndio aliemuingiza kwenye huo mchezo, na mwanzo alikua anawafanyia wote yeye na yule rafiki yake lakini kwa sasa wapo deep sana huyo mama na dem wangu. Ameahidi hadi kumuoa

Akaniambia yeye hisia za kimapenzi zipo kwangu na ananiheshimu ila huyo mama kamfanyia mengi sana ambayo mimi sitoweza kuja hata kufikia robo. Binti alisoma Baobab akakosa mkopo, baba ake akafariki baada tu ya yeye kuanza chuo lkn huyo mama amekua anamsaidia kila kitu hadi ikifikia hata kwao hawana hela ya kula huyo mama anampa awatumie nyumbani.

Akaniambia kama naweza vumilia angalau amalize kumlipa fadhira huyo mama kisha aachane nae basi nivumilie. Ila ananipenda sana.

Ni kweli binti alikua ananipenda na ndo maana na mm nilimpenda sana, lkn maishan mwangu sikuwah kutegemea kama nitakuja kudate au kuoa mwanamke ambae ni lesbian. Nilipiga moyo konde nikasema nitaachana nae tu.

Huyo mwanamke alikua ndio furaha yangu, muda wote tunadate ndio kilikua kipindi cha furaha sana kwenye maisha yangu, sikuwahi kuwa na furaha kiasi kile kabisa na sidhan kama itatokea tena.

Nyie wanawake wasagaji mnatuharibia mabinti, kama huyu binti kwa sasa yupo kwenye jela ambalo hawezi chomoka. Haiba ya huyu binti ni mpole na mstaarabu na ndio maana anaona lazima amlipe huyo mama msagaji fadhira kwa kuwa nae kwenye mahusiano.

Niishie hapo kwa leo, natafuta heartbroken woman tuje tupozane maumivu, afterall maisha lazima yaendelee.
Pole.

Ila mwanamme anayeshindwa kuachana na mwanamke na kutafuta mwingine siwezi kumuelewa.

Sisemi kwamba huo ni udhaifu, watu tuko tofauti.

Nasema tu uwezo wa kumuelewa sina, kwa sababu mimi niko tofauti sana.
 
Hivi mwanaume baharia ngangari unayejielewa unaanza je kusimulia stori za kusagana? Napataga shida sana kuwaelewa wanaume wa aina hizi,mimi hata mambo ya ushoga napataga wakati mgumu sana kuyaelezea,sasa hivi ni kama unakua unasupport hv yaani umefurahia matukio ya kusagana ambayo huwa ni kudhihaki uanaume manaake kama kuna kusagana ina maana wanaume hawana ishu, isee sipendi hizi stori,kama huwa mnatunga muache ni umamaaa🥺🥺🥺
Watalea mkuu, na vile kaambiwa ataolewa si nitakua nimewasaidia kupata mtoto?
Haswaa wape mtoto walee.
 
Back
Top Bottom