Maisha yanakosa maana pale ambapi hata kile kidogo kinachokupa furaha maishani kinaondoka

Watalea mkuu, na vile kaambiwa ataolewa si nitakua nimewasaidia kupata mtoto?
Nashauri acha kabisa kuweka matumaini kwa huyo dada, wanawake wapo wengi true love still exist utampata utayekuwa na hisia nae kuzidi huyo.
 
Eti nae kaamini kua dem hapendi afanyacho na ataacha soon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ila mtu ukipenda bna, na mimi nikikumbuka upuuzi alokua ananiambia yule binti halafu na mimi nikawa naamini kabisa na kumuona ni muaminifu najiona kweli nilikua bwege.

Mkuu njoo huku kwenye gambe, gambe haikutupi, haikusaliti, hainaga stress hii kitu mkuu. Huku ni full burudani ila tu tumia kwa kiasi.
 
Anafinyia kwa ndani? kama hayuko vizuri kitandani unamfanya kama option na not a main chick. akiba haiozi
 
Mnatafuta matatizo ya Moyo sasa Lidemu Lisagaji la nini yani siku uliyojua ilitakiwa ndio iwe mwisho....We Jamaa madem wote hawa mjini unang'ang'ana na Msagaji...kweli tupo tofauti duuu
 
Pole sana 😢
 
umetuangusha... , hapo ungemtafuta huyo mshangazi.. ukashughulika nae "ile ile " hasa.. nakwambia angemuachia huyo dem wako vzr tu.
waongo sana wale wanajifanya madume kumbe yana pigwa pipe tena miguu yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…