Pole mkuuHabari tangu asubuh sijala...dukani madeni...mpenzi kaniacha...nateseka sina tumaini...nimesoma mpaka form 4 ila naujuzi mkubwa wa software na simu ...niajiri kokote nateseka wakuu
Hii ndo sababu inayofanya nisikopeshe mtu😆😅😅Mimi siwezi jiua kwa sababu ya madeni hadi saivi na madeni lakini nime kataa kulipa hadi nipate ela, nime kubali sina uwezo wa kulipa kwa sasa .
Yani familia yangu isile kwa sababu una nidai never😁
Yani usile kisa mtu kampuni zinakudai🤣🤣, wanyabi tunachelewa kulipa tukimaliza tunakopa tenaPole sana. Panga mkakati wa kujikwamua kwenye hayo madeni. Hata kama ni kula mlo mmoja tu kwa siku.
"Wanaojiua si wa kuwalaumu ". mwisho wa kunukuu