Maisha yananikatisha tamaa sana

Maisha yananikatisha tamaa sana

Ulipo ndipo Mungu anataka uwepo, uhalisia wa ndugu na marafiki ndio huo. Ungekuwa na kazi stable, ungeona kila mtu ni Mzuri kwako ile ride or die.

Sasa hapo unaoneshwa uhalisia hivyo, umia na kata tamaa sana lakini siku ukijipata. Akili itakuwa imeshakukaa sawa mkuu, pole pia maana nakuelewa sana. Kaza moyo 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Yani hapo somo kubwa ni kuwa duniani usiwawekee matarajio sana watu kwamba ukianguka watakuinua.
Hakika mkuu na usimtegemee binadamu mwenzio, huwa nasema hakuna atakaekusaidia kuja kuishi maisha yako. Kijana apambane asingoje kuonewa huruma kwa ugumu wa maisha anayopitia.

26yrs bado anayo nafasi ya kufanya kitu na kikawa, habari ya mahusiano aweke kando kwanza.
 
Unajua Maisha ni km fumbo fulani hivi kikubwa ni kupambania ndoto zako hakuna wa kumlaumu zaidi ya Wewe mwenyewe, Wewe ni Ile Mbegu iliyozishinda mamillion ya Mbegu sasa inakuaje ushindwe kizembe sometimes aibu weka mfukoni jilipue ukiona Mkoa X watu watakuwekea kauzibe hama Mkoa nenda Mkoa Y utatoboa huko au utaanzia kutobolea huko hautatobolewa utaanzia kutobolea huko ukiona Mkoa Y namna gani Hama nenda Mkoa Z kapambane na huko usikae sehemu 1 km Mchongoma
 
Ushauri mzuri na makini kabisa, tatizo la sisi vijana wengi tunaona aibu kufanya kazi fulani ili hali ni aibu zaidi kukosa kipato.
 
Karibu inbox nikupe kazi ya kuuza Asali kama upo Dar kama utakomaa vizur kwa siku hukosi elf 20 speed yako ndio shibe yako.
 
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.

Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.

kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Sikiliza wimbo wa Stamina na Darasa unaitwa sikati tamaa
 
Kijana upo mkoa gan? Maana sometimes ili tutoboe kuna mambo inatakiwa kufahamika:
-upo kwa wazazi?
-upo mji wa nyumbani?
-kazi unazojaribu kuzifanya?
Hapo ndo pana masuluhisho ya shida zako zoooote👏👏
 
Back
Top Bottom