Maisha yananikatisha tamaa sana

Maisha yananikatisha tamaa sana

Mkuu tupo wengi humu tunahama Hali kutokana na upepo wa Uzi tukihamia maisha mazuri tunatambaaaa tukija Hali mbaya tunajieleza muhimu tufarijiane kwenye Hali halisi
 
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.

Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.

kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Umeshindwa hata kuokota makopo?
 
Jamii forum ni mtandao wa matajiri .

Wewe masikini humu hapakufai nenda Facebook.
 
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.

Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.

kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa[emoji22][emoji22][emoji22]
Don't worry mkuu every thing will be ok don't die at 20 and burried at 80 by age bado mdogo sana wewe diamond alikimbiwa na baba yake omy dimpoz alitelekezwa na baba yake mwana FA ameenda shule bila viatu don't worry mkuu wakati wa mungu ni wakati sahihi.
 
Hakika mkuu na usimtegemee binadamu mwenzio, huwa nasema hakuna atakaekusaidia kuja kuishi maisha yako. Kijana apambane asingoje kuonewa huruma kwa ugumu wa maisha anayopitia.

26yrs bado anayo nafasi ya kufanya kitu na kikawa, habari ya mahusiano aweke kando kwanza.
Manisha haya mkuu, kuna kipindi unajiona umechelewa halafu unakutana na mtu kakuzidi miaka 20 ana hali mbaya kukuzidi na bado anapambana
 
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.

Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.

kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Daaa umri huo ndio nilikuwa natoka chuo, na ka degree kangu,nikaenda kukaa ghetto na binamu yangu, chumba na seble, akileta demu, ananitimua, aliponichoka, akaanza visa, Mara viatu vyake vimeibiwa, nikasema nitamlipa,
Jioni baada ya, mwezi, class mate wangu akanitumia tangszo LA kazi, nikatuma maombi, tukaitwa interview,
Tukajibiwa kwa email, kipindi hicho simu janja chache sana, internet mpaka cafe, mi nikachelewa kujua, bado siku, moja, tukapewa kazi, kituo nikapangwa Tanga, ilikuwa siku ya furaha sana, nikapewa posho, nauli,pesa ya, kukaa lodge kwa miezi, Sita mpaka tupate nyumba! Hii ni 15yrs ago!
The rest is history, nilifaidika sana na ile kampuni ya wakenya, kampuni ilikufa 2009!
Usikate tamaa mdogo wangu, neema huja kwa, njia tofauti sana, cha, msingi weka makabrasha yako vzr, CV, driving licence, mawasiliano, email nk,uliza sana.
 
We unaweza kujiua ww watu wako wa karibu wakuchunge sijaona sababu ya kukata tamaa kama uko na afya nzuri na viungo vilivyokamilika
 
Kapige saidia fundi kwanza mkuu
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.

Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.

kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
 
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.

Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.

kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Maisha ni myepesi sana, yasikuumize kichwa, nenda kapige kibarua chochote usingoje kazi ya maana kwa kuwa ulienda shule za kusomea ujinga.

Au fanya biashara hata ya kuuza karanga, isihitaji mtaji wa pesa kubwa, ukiwa na alfu 10 tu unaanza biashara ya maana kukuweka bize.
 
Pole mdau, tafuta dame uwe unapotezea mauchungu utayapenda maisha hivyo ulivyo.
 
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.

Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.

kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
ACHANA NAYO. FANYA KITU KINGINE
 
Nilikwambua kwamba jina linakuponza,Mungu anajua ulishatoboa kupitia virabu
 
Back
Top Bottom