Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwani hawezi kupata zali la mentali??Kwa shida zote hizo bado unawaza kupata mchumba, seriously?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hawezi kupata zali la mentali??Kwa shida zote hizo bado unawaza kupata mchumba, seriously?
Nimemshangaa sana 26 tuu analalamika ! Lots of shits on youUnamiaka 26 tu unahisi kuchoka? Serious? 😥
Miaka 26 huna ndugu unajilaumu my nigga uza smartphone nenda town kawe chinga ludi hapa baada ya miezi 6 utuambie Kama bado una iso stressYaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.
kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.
kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
😘Ulitaka awe na miaka 80,bora aseme hapa atapata wataomsaidia.
Humo kwenye list we haumo so SHUT-UP!.
Usichoke omba Mungu mkuuu sisi pia tunapitia changamoto izo izo ulizo nazo ila Mungu ni tumaini letuYaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.
kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Haya...atafute, labda shida zake zitapunguaKwani hawezi kupata zali la mentali??
😂😂😂😂😂kwny adverts zenu mnasemaga awe anapumua ila kwny real life mnaanza kuingizia issue za helaAwe tu anapumua
Kukata tamaa dhambi ktk maisha. Anza na kufanya hata kibarua utafanikiwa uwe na mtazamo chanyaYaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.
kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Sa utapumuaje kama una njaa? Bila kushiba tutazagamuana vipi? Pesa ya kubadilisha mboga na mambo mengine ya msingi lazima iwepo😂😂😂😂😂kwny adverts zenu mnasemaga awe anapumua ila kwny real life mnaanza kuingizia issue za hela
Kuna shughuli nyingi tu zenye mchakamchaka na zenye kukuingizia kipato, tafuta site za Ujenzi, omba kuwa saidia fundi, Nenda masokoni jichannganye kubeba mizigo ama kusaidia wanunuzi kuwabebea vifurushi vyao, Nenda shamba kalime.. Au jisogeze mabondeni anzisha bustani ya mboga mboga kisha jitangaze kwa majirani mtaani utapata wateja wa kutosha sana..Mwili na akili yangu imezoea sana mchakamchaka wa kazi, yaani nikikaa bila kujishughisha najisikia unyonge sana
Kama we ni mwanaumeYaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.
kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Tatizo vijana wanatumikishwa na ndoto za maisha bora bila kujali mchakato wake.Kuna shughuli nyingi tu zenye mchakamchaka na zenye kukuingizia kipato, tafuta site za Ujenzi, omba kuwa saidia fundi, Nenda masokoni jichannganye kubeba mizigo ama kusaidia wanunuzi kuwabebea vifurushi vyao, Nenda shamba kalime.. Au jisogeze mabondeni anzisha bustani ya mboga mboga kisha jitangaze kwa majirani mtaani utapata wateja wa kutosha sana..
Kila la heri
Huyu ana mchezo sana. Kwanza anafaa afurahie kwa kuwa hana mzazi anayemtegemea. Anajipambania yeye binafsi.Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.
kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Ndio hivyo mkuu kila mtu na fungu lake kwa wakati wake kikubwa ni kutokukata tamaa.Manisha haya mkuu, kuna kipindi unajiona umechelewa halafu unakutana na mtu kakuzidi miaka 20 ana hali mbaya kukuzidi na bado anapambana