BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Huu ni mtazamo wangu binafsi ambao ni based kutokana na experience nilizopitia mpaka Sasa.
Maisha yanapokuwa magumu mara nyingi fikra zinakuwa ni zilezile unatumia energy na Akili kubwa kuwaza utakula nini, utalipaje Kodi ama utavaa Nini na kwa bahati mbaya ukipata pesa kidogo unazotumia ili kuweza kujisahaulisha magumu unayopitia kwa starehe.
Katika ugumu wa maisha ndio Kuna mawazo ya kurogana, kupata mali kwa njia za kushirikiana na kila aina ya ubaya.
Mfano mwingine unaothibitisha kuwa ugumu wa maisha unaeffect mbaya kwenye kufikiri ni huu hapa kwenye neighborhood za uswahili agenda kuu ni umbeya ukifanya comparison na wenzetu ambao agenda kuu ni kutimiza ndoto zao na za watu wao wa karibu.
Soma Pia: Uaminifu mdogo chanzo cha maisha magumu na umaskini kwa watanzania