fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
fanya hvo mkuuNikipata mkuu nakulipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fanya hvo mkuuNikipata mkuu nakulipa
Nikiwa na akili zangu timamu, bila kushawishiwa na mtu awe yote, nimeamua kwamba, hii hoja naiunga mko asilimia mia, hasa mstari unaosema mwafrika hana uwezo wa kujitawala na kujiletea maendeleo..Trump pia alithibitisha hilo.Watanzania lazima maisha yawe magumu kwakuwa mungu kawapa Kila kitu ila wameshindwa kuvisimania ,in short viongozi mnao wachagua hawana vision!!
Nakupa mifano michache
1) Mungu kawapa bandari,imewashinda
2) Mungu kawapa wanyamapori wamewashinda
3) mungu kawapa madini yamewashinda
4) viwanda mlivyo wapora wazungu miaka ya sabini na themann vimetushinda ,!! Mfano ,Tanganyika parkers kilikuwa kinachinja na kuuza nyama ya ng'ombe Dunia nzima chini ya muafrika kimekufa Sasa Kuna manabii wanahubiri miujiza[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42] unategemea nn!?
Vijana wamejaa mitaani hawana ajira ,hebu pita pale mwembe Yanga saa nne asubuhu mpaka jion utajionea!!
Mkonde ,sisi ndio tulikuwa miamba Duniani umetushinda!!
5) viwanda vimekufa kaja machina na mhindi kafanya ni magodown!!
Kwa kifupi mwafrika Hana uwezo wa kujitawala na kujiletea maendeleo!! Hana, nasisistiza Hana!! Mwafrika anajua kuajiriwa,aibe ajenge booonge la nyuma !! Kwishaaaa