Watanzania lazima maisha yawe magumu kwakuwa mungu kawapa Kila kitu ila wameshindwa kuvisimania ,in short viongozi mnao wachagua hawana vision!!
Nakupa mifano michache
1) Mungu kawapa bandari,imewashinda
2) Mungu kawapa wanyamapori wamewashinda
3) mungu kawapa madini yamewashinda
4) viwanda mlivyo wapora wazungu miaka ya sabini na themann vimetushinda ,!! Mfano ,Tanganyika parkers kilikuwa kinachinja na kuuza nyama ya ng'ombe Dunia nzima chini ya muafrika kimekufa Sasa Kuna manabii wanahubiri miujiza[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42] unategemea nn!?
Vijana wamejaa mitaani hawana ajira ,hebu pita pale mwembe Yanga saa nne asubuhu mpaka jion utajionea!!
Mkonde ,sisi ndio tulikuwa miamba Duniani umetushinda!!
5) viwanda vimekufa kaja machina na mhindi kafanya ni magodown!!
Kwa kifupi mwafrika Hana uwezo wa kujitawala na kujiletea maendeleo!! Hana, nasisistiza Hana!! Mwafrika anajua kuajiriwa,aibe ajenge booonge la nyuma !! Kwishaaaa